Pep Kibonde wa Mourinho

Ikiwa ametoka kusaini dili jipya la kuinoa timu ya Manchester City kwa miaka miwili, Pep Guardiola ameanza na kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Tottenham Hotspur ambayo ipo nafasi ya kwanza na pointi 20.

Mabao ya Tottenham Hotspur inayonolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho yalipachikwa na Son Heung-Min dakika ya 5 na lile la pili lilipachikwa na Giovan Lo Celsso.

Mchezo huo wa Ligi Kuu England ulichezwa Uwanja wa Tottenham Hotspur na kuwafanya City wasiamini wanachokiona baada ya dakika 90 kukamilika kwa kuwa walifanya mashambulizi mengi ambayo hayakuwa na faida.

Manchester City iliyo na pointi 12 ikiwa nafasi ya 11 kwenye mchezo huo ilimiliki mpira asilimia 67 huku Spurs ikiwa na umiliki wa asilimia 33. Kwa upande wa mashuti matano yaliyolenga lango na Spurs ilipiga mashuti mawili.

Bao la Manchester City lililofungwa na Aymeric Laporte lilifutwa na mwamuzi Mike Dean kwa kile alichoeleza kuwa ilikuwa faulo kabla ya kufunga bao hilo.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

26 Komentara

    Vizuri Sana

    Jibu

    Good 👍👍

    Jibu

    Safi san

    Jibu

    Guardiola pole.umeanza msimu vibaya

    Jibu

    Tottenham hasaivi iko moto sana

    Jibu

    Mourinho ni kocha mzuri sana

    Jibu

    Good

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    Mourinho amejaa mbinu na Pep soka lake ni pasi nyingi na burudani

    Jibu

    Tottenham wapo vizuri.

    Jibu

    Jambo jema

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Pongez sana kwao

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Duuuuh kazi kweli kweli

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hakika spurs walikuwah kwny moto wa Hali ya juu sana kwny mchezo wa jana wamestail kupata point 3 kwny mchezo huo credit kwa jose mourinho (special one ) katika mchezo wa jana

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Pongezi kwako

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    pep yuko vizuri ila hawezi kumfikia mourinho

    Jibu

    Noma sana

    Jibu

    Mourinho ni moto sana

    Jibu

    Pep atalipiza tu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.