Nyota Borussia Dortmund Erling Haaland ametuzwa tuzo ya Golden Boy mwaka 2020
Tuzo hutolewa na gazeti la nchini Italia Tuttosport na mwaka uliyopita ilichukuliwa na nyota wa Atletico Madrid Joao Felix na hutolewa kwa wachezaji waliyo chini ya umri wa miaka 21 kutokea katika ligi kubwa za Ulaya.

Na mchezaji wa kimataifa kutoka Norway Haaland ameongoza kinyang’anyiro hicho siku ya Jumamosi ametokea katika kurasa za mbele za Tuttosport, na kumpiku mchezaji mwenzake wa Dortmund Jadon Sancho, Alphonso Davies wa Bayern Munich, mshambuliaji wa Manchester United Mason Greenwood na kinda wa Barcelona Ansu Fati.
Haaland alifunga magoli 44 katika mashindano yote msimu 2019-20 na yote alifunga ndani ya mechi 18 baada ya kuhamia Dortmund katikati ya msimu akitokea Salzburg.
Alikuwa ni mmoja kati ya wachezaji waliyofunga magoli yasiyopungua 10 msimu uliyopita ni Robert Lewandowski alikuwa na wastani wa dakika (81.2) kwa goli bora kuliko Haaland aliyekuwa na wastani wa (81.7) kwa goli.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 amefunga magoli manne katika michezo mitatu ya Champions League msimu huu 2020-21 na kuongeza idadi ya kuwa amefunga magoli 11 katika mechi 11 katika mashindano yote.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Angelina
Goodnews
Adelta
Amefanya vizuri 👍👍
Shakila mrope
Asante kwa taarifa
zeiyana
Hamaefanya kazi kubwa hana staili tuzo hiyo haaland
Fatina mfingi
Safi pongez kwako..
magdalena
hongera nyingi sana kwake mwanzo mzuri kauanza
Sauda
Hongera yake
Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi zake Sana kafanya vizuri
Caroline
Good boy hongera zake
Povel
Congrat haaland🤝🤝🤝
Hopemwaikuka
U deserve this
aisha
Safi sana
Saupha mohamed
Hongera yake
Ester jackson
Habari njema kwa mashabiki zake hongera kwake
Elika
Safi sana na hongera
Sania
Safi sana
Tatu
Safi sana
warda
Haaland atakuwa tishio sana