Meddie Kagere na Luis Miquissone wawili hawa wanatarajiwa kukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union utakaochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Kagere raia wa Rwanda na Luis wa Msumbiji wamekuwa na pacha nzuri uwanjani ambapo kwa pamoja wamehusika kwenye mabao 12 kati ya 22 yaliyofungwa na Simba.
Kagere amefunga mabao manne na Luis amefunga bao moja na kutoa jumla ya pasi sita za mabao ndani ya msimu wa 2020/21.

Mchezo wa leo utakuwa wa kwanza kwa Coastal Union kukutana na Simba kwa msimu wa 2020/21 jijini Arusha.

Mchezo wa leo utakuwa wa kwanza kwa Coastal Union kukutana na Simba kwa msimu wa 2020/21 jijini Arusha.
Kwa mujibu wa Meneja wa Simba, Abbas Ally,’Gazza’ amesema kuwa wawili hao wamechelewa kujiunga na timu kwa kuwa walikuwa na majukumu kwenye timu zao za Taifa.
“Tunatarajia kukosa huduma za wachezaji wawili Meddie Kagere na Luis Miquissone ambao walikuwa kwenye majukumu yao kwenye timu zao za Taifa,” amesema.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Angelina
Waliobaki wanatosha kabisa hakijaaribika kitu
Adelta
Hapo kazi ipo
Shakila mrope
Hata hawo waliokuwepo wanatosha kabiss
zeiyana
Ila kwa ali hinayohonekana pale kwenye clabu ya simba hinaonesha kabisa hawana mpango na kagere tena.. subiri tuone mwisho wa mchezo
Fatina mfingi
Sio mbaya lakini
magdalena
sawa ila pamoja na kukosa kwao tunataka timu ifanye vizuri
Sauda
Waliobakia pia wanajiweza!!!
Lydia Emmanuel Magoti
Haina shida kwakuwa kikosi tunakiamini kitafanya vizuri kwenye mchezo huo
Rahma
Waliobaki nao wako vizuli
Caroline
Poleni simba
Povel
Ponge kubwa sana natumain. Sven hawapanga replacement sahihi katika mchezo huo kila la kheri simba
Hopemwaikuka
Vyovyote tu watakao kuwepo watamudu
aisha
Poleni sana simbaa
Saupha mohamed
Simba sasa kujipanga tu
Ester jackson
Wamejitahidi man hata kukosekana kwa wachezaji hao bado ilikuwa na uwezo mana wapizani wao bado sio wakali kuliko wao
Elika
Bora Tu walivyoikosa maana zile goli 7sio mchezo…kifurushi cha wiki sio poa
Sania
Hii ni shida kwa wana simba
Tatu
Kazi ipo