Stephan El Shaarawy Atasalia Roma

Nyota Stephan El Shaarawy anathibitisha kuwa atasalia Roma akiendelea kujiboresha wakati anasubiri klabu mpya kumsajili mnamo Januari.

Mshambuliaji huyo amekamilisha jukumu la kimataifa na Italia, lakinib bado yupo Serie A kutoka Shanghai Shenhua.

“Nimetumia zaidi ya miezi miwili huko Roma nikifanya mazoezi bila timu kutokana na janga hilo, kwani sikuweza kurudi China,” -alichapisha katika ukurasa wake wa Instagram

Stephan El Shaarawy Roma

“Nilibahatika kufanya kazi na watu wawili maalum kama Claudio Donatelli na Marco Ferrelli, ambao ninawashukuru sana, kwani waliniruhusu kuendelea kudumisha kiwango changu.”

Nyota huyu ambaye alitarajiwa kuwa angeenda China, alilazimika kusalia Italia. Anatarajia sasa dirisha la mwezi Januari linaweza kumpa nafasi ya kusalia Serie A ikiwa atasajiliwa na klabu yeyote.

Amekuwa akifanya mazoezi na klabu ya Roma, lakini anaamini kujitolea na kufanya bidii kutampa fursa mpya na kurekebisha yale ambayo hayakwenda sawa.


 

BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

18 Komentara

    Nice update

    Jibu

    Good New

    Jibu

    Good 👍

    Jibu

    Ni kweli hata hapo roma ni sehemu sahiii yakulijenga soka lako kama utaimalika vizuri hutakua kuna uwepesi hata kwa mwajili wako na kujitengezea soko lako vizuri

    Jibu

    hizi ni habari njema kwa mashabiki wa roma

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Vizuri Sana kila la kheri kwake

    Jibu

    Sawa

    Jibu

    Habar njeMa kwa mashabik wa roma

    Jibu

    Fresh tu

    Jibu

    Imekaa powa sana

    Jibu

    IPO safi

    Jibu

    Good

    Jibu

    Sawa sawa

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Popote aende tu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.