Lukaku Aweka Rekodi Europa League.

Romelu Lukaku amefanikiwa kufunga goli la tisa mfululizo katika michuano ya Europa League kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya Bayer Leverkusen siku ya Jumatatu na kuweka historia mpya kwenye mshindano hayo.

Mshambuliaji huyo wa Inter Lukaku aliiweka timu yake ya Inter mbele kwa kufunga goli la pili dakika ya 21 kwenye mchezo huo uliyomalizika kwa ushindi wa 2-1 na kuwaondoa Leverkusen kwenye michuano lakini kwa upande wa timu hiyo ya Ujerumani walipata goli la kufutia machozi kupitia mchezaji wao Kai Havertz.

Lukaku amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga katika michezo tisa mfululizo katika michuano ya UEFA Cup au Europa League na kuweza kuivunja rekodi ya muda mrefu ya Alan Shearer.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ubelgiji aliwakushiriki mashindano hayo kipindi cha nyuma akiiwa na Everton mwaka 2014-15, na kufanikiwa kufunga dhidi ya Dynamo Kiev, Young Boys na Wolfsburg.

Lukaku alikuwa na msimu mzuri msimu huu akiwa na timu hiyo ya Italia kwa kufanikiwa kufunga magoli 23 kwenye Serie A na timu yake kumaliza katika nafasi ya pili nyuma ya Juventus kwa tofauti ya alama moja pekee.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

41 Komentara

    Respect Lukaku magol amekuwah kwny mwendelezo mzur Sana kwny Ueropa leage na Italia kwa ujumla

    Jibu

    Lukaku yuko vzur sana n mchezaji ambaye yuko kwny fom zur sana 👍 tuliona maajabu yake tokea alipotoka man u mpk anaingia inter bado anahit me namkubal sana

    Jibu

    Lukaku ni mchezaji mzuri amejiweka ktk nafasi nzuri

    Jibu

    Namkubali sana uyu jamaa anajua sana lukaku#Meridianbettz

    Jibu

    Yuko vizuri huyu jamaa

    Jibu

    Lukaku ni balaa toka alivyojiunga na inter milan

    Jibu

    Lukaku kwa sasa yuko vizuri.

    Jibu

    Lukaku amejiweka kwenye wakati mzuri

    Jibu

    Lukaku yuko vzur sana Man u pale Cjui ilkuaje

    Jibu

    Lukaku yupo vizuri amekua na rekodi nzuri inter

    Jibu

    Yuko vizuri sana lukaku

    Jibu

    Lukaku amekuwa tishio sana ndani ya Inter

    Jibu

    Lukaku yupo moto zaidi yamoto jembe hilo

    Jibu

    Lukaku yupo vizuri sana

    Jibu

    Lukaku mtu mbayaaa

    Jibu

    lukaku kafanya kitu kikubwa sna

    Jibu

    han mpinzani

    Jibu

    Tangu amehamia Inter amekuwa na kiwango bora msimu huu,nasubiri kuona kama atafanya hayo msimu ujao#meridianbettz

    Jibu

    Anastahiri sifa

    Jibu

    Yuko vizuri sana

    Jibu

    Hongera zake

    Jibu

    Amefanya vizur xana msimu uuu

    Jibu

    Yupo vizuri.

    Jibu

    Lukaku yupo vizuri mchezaji mahiri 👍@meridianbettz

    Jibu

    Anajua sana

    Jibu

    Maoni:lukaku ni 1 ya mshambuliaji mzuri sana anazidi kuonyesha kama bado yuko vizuri

    Jibu

    Lukaku yupo vizuli sana#meridianbettz

    Jibu

    Lukaku Ni Moto wa kuotea mbali

    Jibu

    Na bado ataweka sanaa maana jamaa yupo kwenye kiwango kwa Sasa

    Jibu

    Toka alivyo kua Manchester lukaku ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa tu naona bado hanaonesha maajabu yake makazi yake mapya big up sana mpambanaji Romelu lukaku

    Jibu

    Safii lukaku osha nyota hapo maana man u walishindwa kukitumia poa

    Jibu

    Pongezi kwake!!!

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Lukaku amekua na wakati mzuri Sana tokea ajiunge inter.

    Jibu

    Hongera sana Lukaku

    Jibu

    Heshima kwa lukaku anakubalika

    Jibu

    Pongezi Sana Rommel lukaku

    Jibu

    honger kwake na pia aongeze bidii zaid atafika mbal

    Jibu

    Yupo vzr

    Jibu

    Hongera sana lukaku

    Jibu

    Jina limepoa sana la huyu jamaa

    Jibu

Acha ujumbe