Daniel Sturridge amesema bado ana biashara na Premier League na angependa kurudi kwenye ligi hiyo ya nchini Uingereza.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 kwa sasa hana klabu baada ya kuachana na timu ya Trabzonspor mwezi Machi, alishindwa kuendelea na timu hiyo baada ya klabu hiyo kufungiwa kushiriki michezo kwa muda wa miezi minne baada ya kukiuka kanuni za chama cha mpira wa miguu nchini Uturuki.
Mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool,Chelsea na Manchester City alifunga magoli 76 kwenye michezo 218 katika Premier League na ameweka bayana kuwa yupo huru kucheza taifa lolote lakini anapenda kurudi nchini mwake na yupo tayari kujiunga na klabu itakayo muhitaji.

“Tunamachaguo ya kucheza popote ulimwenguni lakini mimi ni mchezaji wa Uingereza na mara nyingi nimekuwa nikipenda kucheza katika Premier League,” Sturridge aliiambia Sky Sports.
“Naamini ninayo mengi ya kuwapa kwenye Premier League na ningependa kusema huko ndio chaguo langu la kwanza. najihisi kama bado sijamaliza biashara na ningependa kurudi na kucheza tena kwenye Premier League.
“Sasa mimi ni mchezaji huru kucheza ligi yoyote, siyo Premier League pekee ninayoiangalia, lakini kururdi Uingereza na kuonesha nilichonacho itakuwa chaguo kubwa kwangu mimi.
“Nina msisimko, nina njaa kuliko wakati wowote na ninaangalia mazima kwenye kurusa iatakayofuata.
Sturridge amekuwa akijiweka sawa katika himaya yake ya huko Los Angeles na anaamini akiwa kama mchezaji huru itakuwa ni rahisi kupata timu ambayo itamfaa na maslahi mazuri.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Omary lukumbi
Ni mchezaj bomba
Mwajumah
Asante kwa makala#Meridianbettz
Isaya massawe
Yuko vizuri
Sauda
Mchezaji hodari sana
Ernest
Tatatizo la Sturridge alilewa sifa mapema ukijumlisha na ubishoo basi vimempoteza kwenye ramani ya soka mapema sana
Shafii
Sturridge bado yupo hasikiki kabisa kwenye ulimwengu wa soka.
felister
habari njema
Sadick
Nakumbuka staili yake kutanguliza mguu wa kushoto#meridianbettz
Caroline
Ni mchezaji mzuri sana
farida ahmadi
Daniel struggle arudi tyuu kwanza umri Bado hunaruhusu na pia ni mchezaji mzuri Sana
magdalena
kijana maridadi sana katika mpira
Ester jackson
Amepotea sana kimchezo
Zeiyana
Me naona sifa zilimzidi ndio maana akajisahau yeye nani kwa wakati huu alio nao naimani hatarudia tena makosa sturridge ni mchezaji mzuri sana hanayejua majukumu yake hakiwa uwanjani
Issa
Sturdge rudi epl ndio mpira ulipo
Mwanahamisi
Habari njema
Latifa juma mohamed
Kiwango chake kinaridhisha
Lydia Emmanuel Magoti
Jamaa anajulikana yupo vizuri lakini asikiki sasaivi kwenye soka
Sabrina
Ni vizuri Daniel akafanya kile anacho kipenda ilikufikia malengo yake
Flomena
Tunamachaguo ya kucheza popote ulimwenguni lakini mimi ni mchezaji wa Uingereza na mara nyingi nimekuwa nikipenda kucheza katika Premier League,” Sturridge aliiambia Sky Sports.
Shan
Shafii
Sylvester
Suridge mtu mbayaaaaaaaaa(S)
Nasra
Nice
Povel
Amepoteah Sana sizan Kama hatawez kupambana epl tena
aisha
Yuko vizuri sana
Tatu
Ajalibu bahati take kama ataweza
Dorophina
Mchezaji mzuri
Gabriel
Me ushauri wangu aje ata yanga iliweze kumalizia soka lake kwny nchi yenye aman kuliko kurud premier league anaweza kukumbwa na corona huyo coz me naamin strurridge n bonge la mchezaji
Furahav
Bado yuko vizuri.
rama
Maoni:karibu EPL kiwango chako bado kina ruhusu kabisa yan
Fatuma kasomo
Yupo vizuri
Hope mwaikuka
Haya endelea kupambana
Shan
Safii
marry
yuko vizr
JULIANA
Safi
Rehema
Mchezaji mzuri
Rose kapinga
Yuko vizur xana
Adelta
Ni mchezaji mzuri Ila kwa sasa amekuwa hafanyi vizuri Kama mwanzo @meridianbttz
Saupha mohamed
Yupo vizuri
Khadija
Ni mchezaji bomba#meridianbettz
Fatina mfingi
Yupo vizur
David Pere
Kama bado uwezo anao arudi tu akipige
Njiku
Yupo poa sana mchizi na bado anauwezo wakucheza mpira pale EPL
Nasra
Sturidge uwezo bado anao.
Devotha
Yupo vizuri
Theonestina
Ni habari njema
Samiah
Yupo vzr
Mwanahamisi
Habari njema
warda
EPL Wengi wanaipenda sana