Barcelona Wanasita Kumnunua Eric Garcia

Barcelona wanaripotiwa kuwa wanasita kulipa zaidi ya Euro milioni 15m kwa ajili ya usajili wa nyota -mlinzi wa Manchester City Eric Garcia.

Kinda huyu mwenye miaka 19 sasa amekuwa akipewa nafasi na Pep Guardiola kuonesha ubora wake, lakini hata hivyo staa huyu hataki kusaini mkataba mpya klabuni hapo.

Hii imekuwa ni sababu ya kuvutia uwezekano wa kuondoka Etihad na kurejea kule Camp Nou, ambako alitumia siku zake nyingi zaidi akiwa anakua katika soka kabla ya kuamua kwenda Uingereza.

Barcelona Wanasita Kumnunua Eric Garcia
Eric Garcia amekuwa akipewa nafasi sana na Guardiola

Hata hivyo, taarifa zinasema licha ya Barcelona kuonekana na nia ya kutaka kumrejesha Camp Nou, bado klabu haipo tayari kwa dau linalohitajika mezani.

Wakati klabu ya Manchester City wakitajwa kuwa wanahitaji Euro milioni 27, kumuachia nyota huyu, Barcelona wao wanasema kuwa wapo tayari kulipa nusu ya gharama hiyo iliyotajwa. Barcelona hawataki kulipa zaidi ya Euro milioni 15.

Guardiola alishathibitisha kuwa staa huyu anataka kuondoka klabuni hapo. Wakati City wakiepuka kumuachia aondoke kama mchezaji huru msimu ujao, watahitaji kutazama tena mpango wao.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

 

47 Komentara

    Asante kwa makala#Meridianbettz

    Jibu

    Eric Hataki tena kubaki City ha haaaaa#Meridianbettz

    Jibu

    Abaki Manchester City

    Jibu

    Sio kesi baki city uendelee kukipiga eric

    Jibu

    Bora abaki man city

    Jibu

    Ahsanteni kwa makala nzuri.

    Jibu

    Wamchukue tu

    Jibu

    Inabidi wasiwe wabahili wamchukue tu

    Jibu

    Maoni:hawana budi barcelona kumchuka nyota huyo aje alete nguvu barcelona imekuwa timu dhaifu sana siku hizi za karibuni

    Jibu

    Endapo Man City itakataa ofa ya Barcelona kuna uwezekano Eric Garcia akaondoka msimu ujao akiwa huru#meridianbettz

    Jibu

    Kama Barcelona awatak kumsajili tena bora atafute timu ya kwenda lakin si kubaki city

    Jibu

    Barcelona waache ugumu wamchukuwe mana Eric pia yuko vizuri

    Jibu

    barca kama wanasita kumchukua wamuache tu abaki city

    Jibu

    Garcia anawakati mgumu sana kipindi hiki

    Jibu

    Labda barca wameona sio chaguo sahihi kwa sasa.

    Jibu

    Barcelona waache ubahili wamchukue tu

    Jibu

    Wanahitaji wachezaji wazuri.ndo maana wapo makini kusajili

    Jibu

    Maamuzi yao wenyewe binafsi kwa Barcelona kumnunua mchezaji huyo au raha

    Jibu

    Garcia rudi nyumbani barca

    Jibu

    Barcelona wanaonesha kabic wanania ya kumnunua Eric Garcia ila wanaofia kutoa pesa nyingi ukiangalia mchezaji mwenyew bado chipukizi

    Jibu

    Barcelona mchukueni jembe uyo msisue sue apo

    Jibu

    Hata hivyo, taarifa zinasema licha ya Barcelona kuonekana na nia ya kutaka kumrejesha Camp Nou, bado klabu haipo tayari kwa dau linalohitajika mezani.

    Jibu

    Barcelona wamchukue tu atawasaidia kwenye kikosi chao

    Jibu

    Hawawezi kurupuka kumchukua bila kujiaminisha!!!

    Jibu

    Barcelona msimuache huyo

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Garcia Hana nafas Tena ETihad co Kama Barcelona watamsajil itakuwha her kwake

    Jibu

    Eric ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Barca kwa sasa naona hawana pesa ya kusajili wachezaji

    Jibu

    Tatizo ni nn Barcelona mkwanja au

    Jibu

    Ukiona hivyo hawana hela.

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Nc news

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Hii ni habari njema

    Jibu

    wakichelewa tunamchukua simba

    Jibu

    Barcelona toa mkwanja mezan!!!

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri wamchukue

    Jibu

    Abaki tu Manchester city
    @meridianbettz

    Jibu

    Jamaa anajua wamchukue

    Jibu

    bora abaki man city#meridianbettz

    Jibu

    Watoe pesa tu Kama wanamtaka kweli waacha maneno mengi

    Jibu

    Labda sio chaguo sahihi kwao.

    Jibu

    Barcelona labda wanataka kujiaminisha kabisa ndo wamchukue

    Jibu

    Nihabari njema

    Jibu

    Asante kwa taalifa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.