Sarabia: Tupo Tayari Kuweka Historia kwa Kushinda Champions League.

Kiungo wa Paris Saint-Germain Pablo Sarabia amewahamasisha wachezaji wenzake kutengeneza historia ya timu hiyo kwa kushinda Champions League.

Wababe hao wa Ufaransa hawajawahi kufika hatua ya nusu fainali kwenye michuano hiyo mikubwa ya ulaya ya UEFA.

Tayari wamemalizana na mashindano ya ndani nchini Ufaransa msimu huu sasa wanayageukia mashindano ya Mabingwa Ulaya siku ya Jumatano ikiwa ni hatua ya robo fainali dhidi ya Atalanta jijini Lisbon.

Lakini wakati Sarabia akiwa anahamsisha wenzake, anajua kwamba kukabiliana na Atalanta waliomaliza msimu wakiwa nafasi ya tatu katika ligi ya Serie A, sio shughuli ndogo.

“Ni fursa kubwa, tutajitahidi kufanya iwe kweli na kuweka historia ya Paris Saint-Germain,” alisema kupitia tovuti rasmi ya klabu.

“Nadhani sasa ni muda sahihi wa kutimiza hili, tumekuwa tukilenga hili kimya kimya sasa tuna utayari huo.

“Tutawasoma wapinzani na kuchez kwa hali na mali kuweka historia, nadhani tupo tayari kwa mchezo huu ambao ni muhimu sana tume hamasika kweli.

Kutokana na kuwepo kwa virusi hatari vya Corona msimu huu hatua ya mtoano itakuwa ni ya kipekee kwani michezo yote iliyo salia itapigwa nchini Ureno na kutakua na mzunguko mmoja pekee kuanzia robo fainali na kuendelea.

Kama PSG itafanikiwa kusonga hatua inayofuata basi itakabiliana na RB leipzig au Atletico Madrid kwenye hatua ya nusu fainali, na Sarabia amesema mfumo mpya wa mashindano utakuwa mzuri kwao.

“Tumeshapata kuelewa hali inavyo kwenda, ni mfumo wa kipekee kwa sababu tunaenda kucheza michezo yote sehemu moja, mchezo mmoja, ni kitu ambacho hakijawahi kutokea kabla,” alisema Sarabia.

PSG ambao wapo chini ya kocha Tuchel wanaweza kumkosa mshambuliaji wao Klyan Mbappe kufuatia kupata jeraha kwenye fainali Coupe de la Ligue dhidi ya Lyon.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

43 Komentara

    Safi Sana kujiamini.

    Jibu

    Ni vigumu sanaa PSG kuchukua UEFA kweli Wana ndoto ya kombe Hilo lakini wafanye kazi kubwa sanaa

    Jibu

    Kwa wakati huu PSG siyo ile ambayo mashabiki tumezoea hii iko tifauti na kuoata kombe wakati huu in kiu yao Mimi nafikiri wanaweza kupata kikubwa ni juhudi.na atletico Madrid mpaka hasaivi hatujui kama itachezwa siku ya ijumaa ya trhe 14 kwa sababu ya wachezaji wake wawili kukutwa na ugonjwa wa corona.

    Jibu

    PSG kwa sasa hawana jipya wanajitahidi lkn wameshafeli

    Jibu

    PSG wafanye kazi kubwa sana ili wapate Kombe

    Jibu

    Hongera kwanza kwa kujiamini,ila Kaz unayoo!!!!

    Jibu

    Nawaombea sana PSG#Meridianbet

    Jibu

    Nice

    Jibu

    PSG kwa sasa hawana jipya#Meridianbettz

    Jibu

    Maoni:vizur wachezaj wajitume wote ili waweze kutwaa uefa psg wana muda mrefu hawajachukua kombe hili

    Jibu

    Kwa mwenendo walio kua nao PSG wakiendelea nao asilimia mia wataingia fainali ligi ya mabingwa

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Madhumuni makubwa ya PSG kumununua Neymar na Mbappe ilikuwa kutaka kuwa wafalme wa Ligi hii maarufu barani Ulaya#meridianbettz

    Jibu

    psg kwa sasa wapambane sana maana hawana jipya tena

    Jibu

    Mkiamua mnaweza

    Jibu

    Wakaze sana ili wapate hilo kombe

    Jibu

    Vizuri sana mkipambana mnaweza PSG

    Jibu

    Kila kitu kinawezeka mkijiekea malengo sarabia ni MTU wa kujituma ashindwi kitu

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    mkithubutu mnaweza

    Jibu

    Psg wanaweza kufika hata fainali

    Jibu

    Kujituma zaid kunahitajika

    Jibu

    Mkijitahidi mtaweza

    Jibu

    Msimu huu unaweza kua bomba kwa psg

    Jibu

    Psg wanatakiwa wawe makini sana na tatizo lao lingine wanapenda sana kurelax ikumbukwe sasa hakuna home and away wanawaichukulia Atalanta kama timu nyepesi sana

    Jibu

    Maneno hayajengi Kama fikra za PSG kuchukua club bingwa cha msingi ni kuweka juhudi kubwa Sana hili linaweza likawezekana.

    Jibu

    Ni vizuri Sana mchezaji kama mchezaji kujiamini hongera Sana Pablo sarabia kwa kujipa imani

    Jibu

    Wakiamua kufanya juhud wataweka historia

    Jibu

    Tumeshapata kuelewa hali inavyo kwenda, ni mfumo wa kipekee kwa sababu tunaenda kucheza michezo yote sehemu moja, mchezo mmoja, ni kitu ambacho hakijawahi kutokea kabla,” alisema Sarabia.

    Jibu

    For me PSG wawape kombe lao

    Jibu

    Wapambane tu watapata

    Jibu

    Ngoja tuone km itakuwa kweli?

    Jibu

    Psg wapambane sana

    Jibu

    Inapendeza sana kujiamin hvyo

    Jibu

    Good

    Jibu

    Wanatakiwa wafanye juhudi ili waweze kupata kombe@meridianbettz

    Jibu

    PSG wajitume sanaa

    Jibu

    PSG ni timu nzuri sana ila wanakuwa na makosa madogo madogo hasa kwa wachezaji kuwa na dharau na timu

    Jibu

    Ni Jambo zuri Sana Cha msingi waongeze juhudi Kila kitu kitakaa sawa.

    Jibu

    Good

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Wapambane tuu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.