Saul Aomba Radhi Kwa Mashabiki wa Atletico.

Saul Niguez ameomba radhi kwa mashabiki wa timu ya Atletico Madrid baada ya kutolewa kwenye michuano ya Champions League na timu ya RB Leipzig kwenye hatua ya robo fainali kwa kukubali kipigo cha 2-1 siku ya Alhamisi.

Leipzig ndiyo walianza kufunga goli dakika ya 50 kipindi cha pili cha mchezo goli lililofungwa na Daniel Olmo kabla ya Joao Felix hajasawazisha kwa mkwaju wa penati baada ya kuchezewa madhambi katika eneo la penati, dakika ya 88 Tyler Adams akaipa RB Leipzig goli la pili na la ushindi na kuwapa tiketi ya kucheza nusu fainali.

     Saul Niguez

Kiungo wa Atletico Saul ametambua kuwa makosa waliyofanya na kuruhusu kupoteza mchezo huo muhimu wa robo fainali uliyopigwa nchini Ureno siku ya Alhamisi.

“Wapinzani wetu walikuwa imara katika kila idara kwenye mchezo,” alisema Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Hispania.

“Tulikuwa na msisimko, mashabiki wanastahili zaidi, tulikuwa na tumaini la kusonga mbele pia tunaomba radhi sana.”

Wakati huo huo nahodha wa timu hiyo Koke alisema wamepoteza kwakuwa wapinzani walikuwa vizuri zaidi pia mfumo mpya wa mashindano hayo kwa kucheza mzunguko mmoja pekee.

“Tumesisimshwa na mashindano ya awamu hii sasa ni muda wa kuamka na kuangalia tulipokosea,” alisema ukiwa dimbani kuna muda unakuwa mzuri na kuna muda unacheza vibaya. Tunapaswa kuangalia wapi tuliposhindwa.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

47 Komentara

    Walipoteza mlekeo kwa sababu wapinzani walikuwa imara uwanjani
    @meridianbettz

    Jibu

    Ndo mpira ulivyo wakubali tu matokeo

    Jibu

    Maoni:ndo moja ya matokeo ya mpira amefanya vizuri kuomba radhi mashabiki

    Jibu

    Amefanya jambo la maana sana..

    Jibu

    Ndompila ulivyo wakubaliane nahali halisi

    Jibu

    Ndompila ulivyo wakubaliane nahali halisi

    Jibu

    Ndio mpira ulivyo wakubali tu matokeo#Meridianbettz

    Jibu

    Ndio hivyo tena walipambana sana atletico Madrid ila bahati haikua kwao

    Jibu

    Hayo ndio matokeo na kuomba radhi kwa mashabiki ni uugwana ambao ni mzuri na tunakubaliana na matokeo

    Jibu

    Kwa upande washabiki haiko sawa

    Jibu

    Amefanya sahihi kuomba radhi

    Jibu

    Wakubal matokeo t

    Jibu

    Hayo ndio matokeo ya mpira wakubaliane na matokeo tu ila Saul amefanya jambo la kiungwana

    Jibu

    Ni jambo zuri kukubali matokeo

    Jibu

    Amefanya Jambo la maana sana

    Jibu

    kuomba radhi ni jambo la busara sana ila matokeo katika mpira ni muhimu kuyakabili tu

    Jibu

    RB Leipzig iliingia kama underdog na ilijua ubora wa Atletico kwa kuitoa Liverpool bingwa mtetezi. RB Leipzig imeanzishwa miaka 10 tu iliyopita na imeweza kufikia mafanikio makubwa#meridianbettz

    Jibu

    Amefanya kitu cha msngi na chamaana kuomba ladhi mashabiki kwani amejua kosa lake

    Jibu

    akubali tu matokeo ndiyo mpira ulivyo

    Jibu

    Bora kafanya hivyo kuomba radhi ni busara zaid

    Jibu

    Ndompila ulivyo wakubaliane nahali halisi

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Ni Moja ya matokeo ya mpira, kikubwa kukaza buti!!!

    Jibu

    Kafanya jambo jema sana

    Jibu

    Amefanya sahihi kuomna radhi#meridianbettz

    Jibu

    Maamuzi mazuri Sana Yuko sahihi

    Jibu

    Ni jambo zuri

    Jibu

    Jombo zuri

    Jibu

    Siku zote mdharau mwiba mguu uota tende ndo matokeo yake ila mpira ulikuwa mkal sana na wenye ushindan kwa RB Leipzig walijipanga sana 👍

    Jibu

    Yupo sahihi kuomba radhi

    Jibu

    Kukubali matokeo ni ugwana

    Jibu

    Daah ila inauma sana.

    Jibu

    Atletico waliteleza hii mechi walipotea sana

    Jibu

    Ni vzur

    Jibu

    Daah!! Atletico Madrid nyie mmezingua sana

    Jibu

    Jamaa ananidham kwa mashabiki poa sana saul

    Jibu

    Nijambo la busara kuomba radhi inaonyesha kukubali kosa na kutaka haki na usawa

    Jibu

    Safi kukubali matokeo

    Jibu

    Amefanya jambo zuri kujishusha#meridianbett

    Jibu

    Siku zote mdharau mwiba mguu uota tende ndo matokeo yake ila mpira ulikuwa mkal sana na wenye ushindan kwa RB Leipzig walijipanga sana na watafika fainali

    Jibu

    Ukweli siku zote uko pale pale mpira una matokea matatu lazima ukubali tuu

    Jibu

    Saul ni kijana uliefunzwa maadili mema sana maana neno samahani linamaana kibwa sana na pia ponngezi kwa kujali hisia za mashaniki wako

    Jibu

    Sawa tumekusamehe mashabiki zako

    Jibu

    Ni jambo zuri unapokosea inapaswa utambue hilo na kuwataka radhi ulio wakosea.

    Jibu

    Katumia hekma sana kwa kuomba radhi.

    Jibu

    Amefany Jambo la maana kwn mwenye kukosa hanabudi kuomba RADhi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.