Kinda wa Man Utd Chong Ndani Bundesliga.

Wakala wa Tahith Chong amesema sema kinda huyo anataka kwenda ligi ya Bundesliga hali ya kuwa Werder Bremen wameripotiwa kuwa karibu kumaliza dili hiyo ya mkopo na mchezaji huyo wa Manchester United.

Chong mwenye umri wa miaka 20 aliongeza mkataba na klabu ya Man United mpaka mwaka 2022 mwezi Machi licha ya Inter kuonesha nia ya kutaka huduma ya kiungo huyo.

Lakini timu yake hiyo ya kwanza ilimpa fursa mchezaji huyo kwenye mchezo dhidi ya LASK siku ya Jumatano na kucheza mchezo wa kwanza kama mchezaji wa akiba, tangu kusimama kwa shughuli mbalimbali ulimwenguni kutokana na janga la Corona.

“Tahith angependa kujiunga na ligi ya Bundesliga,” muwakilishi wake Erkan Alkan aliiambia Bild.

“Tutaongea na Manchester United siku ya Alhamisi.”

Hiyo inaleta ishara ya dalili za kuondoka kwa kinda huyo kuelekea Werder Bremen, akiripotiwa na Bild Alkan alikuwa kwenye mazungumzo na kiongozi wa michezo na mkuu wa skauti Clemens Fritz.

“Najua mchezaji atacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji, sitaki kuongea sana,” alisema Baumann, hii ni kwa mujibu wa The Newspaper.

Kama Chong atajiunga na Werder, ataziba nafasi ya Milot Rashica, mchezaji wa kimataifa wa Kosovo ambaye ameripotiwa kutakwa na vilabu mbalimbali ambavyo ni Liverpool, Wolves, Aston Villa na RB Leipzig.


Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia mchezoni

38 Komentara

    Aende akapate uzoefu zaidi kwa jinsi msimu ujao unavyotazamiwa kuwa sidhani kama atapata nafasi za kucheza mara kwa mara Man u

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Bora aende maana chong anakosa sana namba akiwa man u

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Aende tu akaongeze kiwango.

    Jibu

    Wachezaji kinda kama Chong anatakiwa kuangalia timu itayomupa nafasi kubwa ya kucheza kuimarisha kiwango chake#meridianbettz

    Jibu

    Deal zuri kwa Chong

    Jibu

    Habari njema hii

    Jibu

    Saf Bola akachez

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Safi sana kwa mchezaji kama uyu kuwa na uwezo

    Jibu

    Aende tu

    Jibu

    Aende akaongeze ujuz

    Jibu

    Kambi popote.

    Jibu

    Ni Jambo zuri kwenda kujifunza zaidi ili atakaporejea awe amewiva vizuri

    Jibu

    Bora aende tu Kwan kambi popote#Meridianbettz

    Jibu

    kama mchongo wa kwenda umekamilika aende ili aongeze uzoefu zaidi

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Bora haende tu maana man u walikuwa wanamuweka muda mwingi benchi

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Bora aende tu aongeze kiwango
    # meridianbettz

    Jibu

    Dah ila uwezo anao

    Jibu

    Inabidi atafute timu nzuri

    Jibu

    Hayo ni maamuzi yake kijana kaona ni bola hatafute masilahi yake man u wanatamaa ya wachezaji hikiwa bado wanakikosi kizuru tu cha wachezaji

    Jibu

    Kambi ni popote

    Jibu

    aende akapate uzoefu zaidi

    Jibu

    Umepata mguu wakutoka kapambane

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Nenda kaoneshe uwezo wako dunia itakutambua hapo badae ndo mwanzo wa safari yako.

    Jibu

    Jambo zuri sana

    Jibu

    Hii nimeipenda

    Jibu

    Aend akakuze kipaji

    Jibu

    Sio jambo baya

    Jibu

    Sio mbaya hatujamuuza moja kwa moja anaenda kwa mkopo

    Jibu

    Maisha ni popote

    Jibu

    Ni furaha kwa mashabiki wake.

    Jibu

    Imeniuma sana huyu Dogo kusepa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.