Upamecano Aongeza Kandarasi Mpya Leipzig!

Dayot Upamecano amemaliza uvumi kuhusu hatima yake kwa kusaini kandarasi mpya na klabu ya Bundesliga RB Leipzig.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 anayecheza nafasi ya ulinzi alikuwa akihusishwa na kuhamia katika timu ya Premier League, Arsenal na dili yake ya ilikuwa inakwisha mwaka 2021.

Leipzig wamemwambia Upamecano anahitaji kusaini mkataba mpya au auzwe wakti wa dirisha la usajili kuliko aondoke bila malipo mwakani.

Na mfaransa huyo amechagua kuendelea kukaa klabuni hapo, kwa kukubaliana na vigezo na masharti katika dili ambayo itafikia mwisho mwaka 2023.

 Dayot Upamecano

“Najihisi vizuri nikiwa hapa Leipzig, kila kitu kipo sawa,” alisema Upamecano ambaye pia alikuwa akipendelea kwenda klabu ya Bayern Munich.

“Tulikuwa na mazungumzo mazuri na Mkurugenzi mkuu Oliver Mintzlaff, na kiongozi wa michezo Markus Krosche na Kocha mkuu Julian Nagelsmann, ambaye alinionesha kupenda maamuzi yangu ya kuongeza mkataba yaliyokuwa ni maamuzi sahihi.

“Kijana wetu mdogo mwenye njaa na amekuwa na mchango katika klabu. nataka kupiga hatua na Leipzig na kufikia malengo ya mipango yetu, kwa sababu nimeshawishika jinsi tunavyo cheza mpira wetu.

“Nimekuwa hapa kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitatu na ninataka kuendelea kuwepo hapa kuimarisha timu.

Leipzig ambao wamefika katika hatua ya robo fainali katika michuano ya Champions League watakutana na Atletico Madrid katika michuano hiyo mwezi ujao Agosti, wakiwa tayari wamempoteza mshambuliaji wao Timo Werner aliyetimukia katika ligi ya Premier League katika klabu ya Chelsea.

Upamecano ameichezea Leipzig michezo 111 tangu ajiunge mwaka 2017 mwezi Januari.

“Dayot amekuwa ni beki mzuri hapa Leipzig katika kipindi cha miaka michache iliyopita na bado anaweza kuendelea kukuza kiwango chake akiwa hapa Leipzig.


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani

soma hapa zaidi

39 Komentara

    Hongera

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Dayot Upamecano n bonge la bek tunamtaka sana Arsenal
    #Meridianbet Tanzania

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Yuko vizuri Sana na hongera

    Jibu

    Kila la kheri Dayot Upamecano na hongera kwa kulamba deal nono

    Jibu

    Congrats to him

    Jibu

    Habari njema kwa wana RB.

    Jibu

    Hongera!

    Jibu

    Hii ina maana timu inayotaka huduma yake inatakiwa izame zaidi mfukoni. Leipzig imeleta chachu Bundesliga miaka ya karibuni na pengine ni timu pekee kutoka Ujerumani mashariki kufanya vizuri#meridianbettz

    Jibu

    Hongera sana na faida sana kwa RB reipzig

    Jibu

    Nzuri kwake

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Habari njema hizo

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Hongera zake

    Jibu

    Jamaa kweli kanogewa na timu take Yani Hana hata wazo la kuhama kabisaaa

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Ni vizuri amepata donge nono kuingia reipzing

    Jibu

    Hongera sana#Meridianbettz

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Kijana anaangalia mpunga tu

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Pongezi kwake kwa kupata mkataba mpya

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Hongeraaa!!!

    Jibu

    jamaa kweli kanogewa mawazo ya kuamia klabu nyengine ata hana

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    gud

    Jibu

    Beki mzur sana

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Hongera yake kabisa

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.