Ratiba ya Bundesliga imetoka kwa msimu 2020-21 na timu ya Bayern Munich imepangwa kukutana na timu ya Schalke katika dimba la Allianz Arena siku ya Septemba 18 kwenye mchezo wa ufunguzi wa Bundesliga.
Lakini, kama Bayern Munich watafika fainali katika michuano ya Champions League ambayo imepangwa kuwa Agosti 23 basi mechi yao na Schalke itachezwa Septemba 21.
Bayern Munich na Borussia Dortimund watakutana kwa mara ya kwanza kwenye msimu mpya, katika DFL Supercup Septemba 30 katika dimba la Allianz Arena.

Bundesliga Klassiker itafunguliwa katika dimba la Signal Iduna Park siku ya mchezo wa saba, ambayo itakuwa ni Novemba 6-8 na mchezo wa ligi unaweza kuwa kati ya March 5-8.
Mchezo wa 32 unaweza kuonesha ni timu zipi zitakuwa zikiwania taji, ambapo Bayern atacheza na Gladbach na Dortimund akiwa nyumbani na kisha RB Leipzig.
Bayern watahitimisha mchezo wao wa Bundesliga na mahasimu wao wa Bavaria timu ya Augsburg May 22,wakati Borussia Dortimund atakutana na Bayer Leverkusen.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


Caroline
Hii si ya kukosa jamani
Furahav
Bora ligi zianze mapema.
Fatina mfingi
Hitakuwa game Kali sana
Sauda
Tunasubiri mtanange.
Lydia Emmanuel Magoti
Patakuwa apatoshi mtanange wakufa mtu huo Bayern kumvaa sachalke bonge la game hilo
Mwajumah
Kazi itakuwepo apo bonge la mtanange#Meridianbettz
felister
naisubiria kwa hamu iyo siku ya ufunguzi
Tatu
Bonge LA mechi
Sadick
Hii ratiba Bundesliga ni ya pili kutoka baada ya EPL#meridianbettz
Issa
Bayern kombe lao la kwanza hilo
Janeflora malisa
Itakuwa vzr
farida ahmadi
Mtanange huu si yakukosa kabisah
Hope mwaikuka
Mechi kalii
JULIANA
Si yakukosa aise
Devotha
Habari njema sana
Sabrina
Itakua noma sana
Rose kapinga
Kutawaka Moto!!!
Gabriel
Japo schalkh 04 n wazur ila Bayern Munich hii gemu inashinda maana ukiangalia Bayer hawajawai kupoteza mech msimu mzima hii gem schalkh watakuwa na wakati mgumu sana kuonyesha ushind itabid wafanye kitu kizur sana kwenye upande wa ulinzi
Omary lukumbi
Duu sasa sijui itakuaje kama Munich itakua na makali yake kama zaman
Neema juma
Naingoja kwa hamu
Zuhura omary kindamba
Itakua balaa kubwa tunasubili kwa hamu
Latifa juma mohamed
Patakuwa hapatoshi
Shafii
Ni mechi ya kukatana shoka.
Ernest
Bayern hapa wataendeleza ubabe tuu
Dorophina
Mechi ngumu sana hii Bayern najua lazima watawazibiti tu wapinzani wao
Mwanahamisi
Big mechi
Khadija
hitakuwa mechi ya kufa mtu#meridianbettz
Nasra
Mechi babukubwa
aisha
Tulikua tunasubilia kwa ham
magdalena
mechi itakuwa kali sana msimu ujao naisubiria kwa hamu
Amiri Kayera
The big match
David Pere
Hiyo mechi itakuwa na magoli mengi sanaa
Genia Sikaluzwe
Mechi Kali Sana
Ester jackson
Hii mechi itakuwa bomba zaidi
Samiah
Hii siyakuikosa
warda
Wakutane tu hii imekaa poa sana