Wachezaji wanne wa klabu ya Manchester United wameingia kwenye orodha ya wachezaji vijana wanaowania tuzo ya mchezaji kijana bora wa mwaka wa Ligi Kuu ya Uingereza.
Wachezaji kama Marcus Rashford na Mason Greenwood wanaungana na Trent Alexander-Arnold kutoka Liverpool na Christian Pulisic wa Chelsea kwenye orodha hii fupi ya vijana waliofanya kazi nzuri kwa msimu.
Safu ya ushambuliaji ya Man United, Marcus Rashford, Anthony Martial na Mason Greenwood wote wameingia kwenye orodha hii. Kwa pamoja safu hii imeona nyavu zaidi ya mara 60 kwa m,ichuano yote wakati Menchester United wakifanikiwa kusalia kwenye nafasi ya tatu.

Beki wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold ameingia tena kwenye orodha hii na anaonekana kuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kutwaa tuzo hii. Hii inatokana na mchango wake mkubwa kwa Liverpool, na anaweza kuwa mchezaji wa kwanza kuichukua tuzo hii tangia alipoichukua Steven Gerrard mwaka 2002.
Mason Mount na Christian Pulisic pia wapo kwenye orodha hii kutokana na mchango wao pale Stamford Bridge. Jack Grealish pia ameingia kwenye orodha hii kutokana na mchango wake pale Aston Villa.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


Neema juma
Hii ni habari nzuri sana
Shafii
man united wanastahili pongezi Sana hii inaonesha wana msingi mzuri wa kuja kuwa na kikosi bora cha baadae ila inapaswa wawape nafasi kubwa makinda hao waje kufanya makubwa baadae.
Sauda
Vijana wapewe nafasi nzuri ili wafanye matukio mazuri
Mwajumah
Hii ni habari njema sana kwa vijana kuwania tuzo km iyo lkn hapo natamn rashford awe mbabe wao#Meridianbettz
Ernest
Vijana na Liverpool wananafasi kubwa kutwaa tuzo
Adelta
Habari njema
#meridianbettz
Dorophina
Man u wana vijana wazuri sana na wanaujuzi wa hali ya juu watachukua tu tunzo
Mwanahamisi
Gud news
Khadija
Vijana wa livepool wana nafasi kubwa#meridianbettz
Zeiyana
Ni kweli man Chester uted kuna makinda wanao jituma sana ni vizuri uwongozi wao wangewapa nafsi kubwa ili watumie uwezo wao
Caroline
Hongera sana.mjitaidi mzipate izo tuzo
Fatina mfingi
Vijan wa Liverpool wapewe nafac ili waonyeshe uwezo wao
Sadick
Trent Alexander-Arnold anasitahili kushinda amekuwa na assist nyingi #meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Habari njema
aisha
Club ya liverpool naona inavinana ambao wanaweza kwenda huko
Janeflora malisa
Nice
Tatu
Man kwa msimu huu wamejitahidi sana wanastahili pongezi
magdalena
habari njema
Devotha
Liverpool wanaweza kutwaa taji karibia zote za EPL
felister
liver wana nafasi kubwa kutwaa tuzo hizo
Furahav
Habari nzuri
Issa
Man u wapo poa wameimarika
Gabriel
Safi sana 👍
farida ahmadi
Safiiii Sana Manchester United
Saupha mohamed
Good news
Amiri Kayera
Wanawekez Sana kwenye vijana
Latifa juma mohamed
Habari nzuri
David Pere
Pale Man U wachezaji vijana wapo wengi sanaa
Genia Sikaluzwe
Habari njema Sana
Ester jackson
Pongezi man u kwa kikosi cha badae ambacho kinaonyesha kitaleta mapinduzi ya badae
Samiah
Nice
Sabrina
Hongera yao wajitahidi waipate united
Omary lukumbi
Nice news
warda
Ndo mana sasa hivi wako poa sana