Rummenigge Athibitisha Kuondoka kwa Thiago.

Mwenyekiti wa klabu ya Bayern Munich Karl- Heinz Rummenigge amethibitisha kwamba Thiago Alcantara ataondoka katika klabu anayoichezea sasa Fc Bayern Munich.

Thiago atakuwa nje ya mkataba mwaka ujao na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ameripotiwa yupo tayari kuachana na miamba hiyo ya Ujerumani.

Jurgen Klopp ameonesha nia ya kumuhitaji Thiago hapo Anfield, ambapo Liverpool wamefanikiwa kushinda taji lao la kwanza la Premier League tangu walipofanya hivyo mwaka 1990.

Hali ya kuwa kumekuwa ueneaji wa kuondoka kwa kiungo huyo wa Hispania, Rummenigge amesema Thiago yupo tayari kwaajili ya changamoto mpya.

“Tunatakiwa tukubali kwamba, bado tuna mkataba wa mwaka mmoja kama atakubaliana na klabu yoyote, basi hiyo klabuitalazimika kutulipa kiasi cha fedha kwaajili ya uamisho wa Alcantara. alisema kiongozi wa michezo wa Bayern Hasan Salihamidzic.

“Sitaki kuongea chochote kuhusu kiasi tulichokipanga, lakini tunajua kwamba tutalipwa ikitokea timu kumtaka Thiago.

Thiago amefanikiwa kushinda mataji saba ya Bundesliga, manne ya DFB-Pokal na mawili ya DFL-Supercup na moja la Club World Cup tangu ajiungena Bayern Munich akitokea Barcelona mwaka 2013.

Baada ya kuisaidia Bayern Munich kushinda taji la nane mfululizo, Thiago na Mabingwa hao wanajiandaa kurudi katika michuano ya Champions League mwezi Ujao kwa mchezo wa marudiano dhidi ya Chelsea.

Mchezo wa awali Bayern Munich alishinda kwa 3-0 jijini London kabla mashindano hayajasimamishwa kwa lazima kufuatia kuzuka kwa virusi vya Corona mwezi Machi.


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani

soma hapa zaidi

44 Komentara

    Mlango upo wazi kwa Liverpool na Man city kutuma offer zao. Nadhani Man City ina nafasi kubwa kumuchukua. Thaigo ni mchezaji mahiri#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Liver wamechachamaa kwenye usajili lakini wakimpata Thiago atawafaa sana

    Jibu

    Asante Meridianbet kwa kutuletea tetesi za Soka..

    Jibu

    Naona liver msimu huu imeonyesha nia ya kusajili tofauti na msimu uliopita

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Aende Liverpool watamchukua

    Jibu

    Aende Liverpool watamchukua

    Jibu

    Aende tu livepool watamchukua#meridianbettz

    Jibu

    New updates

    Jibu

    Liver wameamua kumsajili Thiago

    Jibu

    Thiago yupo vizuri sana bola haende Liverpool tu kutamfaa zaidi

    Jibu

    Good

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Ni dalili nzuri kwa Thiago kutua ndani ya Liverpool

    Jibu

    Gud news.

    Jibu

    Kwa vilabu vya mpira hyo ndio fursa wasilaze damu

    Jibu

    Thiago bado ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Good news Thiago

    Jibu

    Thiago ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Thiago ni wakati wa kubadil changamoto ingine tena ujeruman ushavuruga sana

    Jibu

    Hapa naona kilio cha klopp kimesikika maaana kitambo sana alikuwa anapiga dua kumpata Thiago me naamin Liverpool itakuwa vzur sana maana usajili wao uko vzur

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Good newz

    Jibu

    Nadhani Liverpool wanaendelea kusajir ili kuimaira kikosi msimu ujao

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Maamuzi yake binafsi

    Jibu

    Kweli Liverpool wanatisha Sana msimu ujao maana hapa wamepata jembe la maana sanaa

    Jibu

    Vizurii

    Jibu

    Liverpool watafaidika nae Thiago ni talent player

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Klopp atakifanya kikosi cha Liverpool kua tishio msimu ujao

    Jibu

    Maoni:vizuri

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Thiago huu ndi wakati wa kufanya yako Liverpool

    Jibu

    Kila la kher

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Sawa tumewapata#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.