Sancho Mazoezini na kikosi cha Dortimund.

Sancho amejumuishwa katika kikosi cha watu 31 cha timu ya Borussia Dortimund kilichoanza mazoezi nchini Switzerland licha ya uvumi kuendelea kujiunga na timu ya Manchester United.

Mchezaji huyo wa timu ya taifa ya Uingereza amekuwa katika tetesi kubwa za kujiunga na timu ya Manchester United kwa dau kubwa la fedha, na United wamemaliza katika nne za juu kwenye Premier League Hivyo basi tutawaona kwenye Champions League msimu ujao.

Dortimund wameripotiwa walikuwa wanataka kumalizana na dili hiyo kabla hawajakwenda mbali kujiandaa kwaajili ya msimu ujao 2020-21 ingawa hilo limeshindikana na wameondoka na mchezaji huyo kwenda nchini Switzerland.

Kutokana na uvumi uliopo kwenye vyombo vya habari, klabu hiyo ya Bundesliga inataka kiasi cha £108m kwa uhamisho wa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 20 alisajiliwa na Dortimund mwaka 2017 akitokea Manchester City.

Wakati Sancho anasubiri kutafuta kama  kunanamna ya kukamilisha dili hiyo na United na mwajiri wake wa sasa, ataendelea na mazoezi akiwa na Dortimund nchi Switzerland.

Jude Bellingham nayeye pia amesafiri na timu hiyo,kiungo huyo alijiunga na timu hiyo ya Ujerumani akitoke klabu ya Birmingham.

Lakini, Marco Reus na Marcel Schmelzer wamebaki nyumbani wakiendelea kujitizamia na majeraha yanayo wakabili.

Dortimund wapo mbioni kucheza michezo ya kirafiki dhidi ya SC Altach na Austria Vienna wakati wakiwa wapo kambini nchini Switzerland.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

39 Komentara

    Pesa nyingi sana.

    Jibu

    Thamani ya Sancho sokoni ni kubwa mno wakati huu uchumi wa vilabu vingi umeyumba sana#meridianbettz

    Jibu

    Japo kazi ipo!!

    Jibu

    Bonge la dau kwa Sancho ila uchumi hasaivi umeyumba au wamefanya hivyo kwa sababu ya ubora wake zaidi

    Jibu

    good news

    Jibu

    Kazi ipo hapo

    Jibu

    bonge la dau kwa sanchez#meridianbettz

    Jibu

    Ikiwezekana huu usijali united waupotezee

    Jibu

    Pesa ndio kila kitu

    Jibu

    Hapa tunachanganyana maaana nilisikia ole gunar ameshamchukua tayar now nasikia yuko kwny kikos cha Dortmund cha watu 31 kwa hiz tetes zinachanganya sana

    Jibu

    Hapo kazi ipo

    Jibu

    Gud news 👍
    @Meridianbettz

    Jibu

    Kaz ipo apo Sancho tunataka mahajabu hapo

    Jibu

    Kwa namna hii man u wajipange kwa msimu ujao washamkosa.

    Jibu

    Wapambane yu man u

    Jibu

    Duuuu noma sana

    Jibu

    Pesa ndio mpango mzima

    Jibu

    Naona Man U wameamua kuchungulia pesa yao

    Jibu

    wameweka dau kubwa sana

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Hapo kazi kazi

    Jibu

    Tatiz kpnd hk cha covid 19 timu nyng hazina pesa ndo maana United wanachunguliah pesa yao

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Mkali wa assist Sancho soon anakuja man utd#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Noma sanaa

    Jibu

    Duh

    Jibu

    Dortmund wanazingua wanaleta tamaa sanaa ya pesaa

    Jibu

    Mkwanja mrefu sana sancho wamemuwekea man u kwa sasa hawawezi kumsajili inaonekana kipato Chao kipo chini

    Jibu

    Sio mbaya!!!

    Jibu

    Ila namkubali sana huyu dogo#Meridianbettz

    Jibu

    Wameweka dau kubwa sana#Meridianbettz

    Jibu

    sancho thamani yake ni kubwa sana kutokana na kiwango chake cha kujituma katika mpira

    Jibu

    Kwa jinsi hali ilivyo Sancho inaonesha anaweza kubaki Dortmund msimu huu.

    Jibu

    Sancho ni wa Dortmund jamani

    Jibu

    Man U hapa sidhani Kama watakubali kutoa hela kubwa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Ina maana man united ndio wameshindwa kumsajili huyu sancho

    Jibu

    Duuh

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.