Kepa Arrizabalaga Anatakiwa na Baadhi ya Timu za La Liga

Golikipa wa klabu ya Chelsea, Kepa Arrizabalaga yupo katika rada ya timu ya La Liga, Valencia kwa mujibu wa ripoti ya Sport.

Kepa Arrizabalaga Alicheza katika klabu ya Athletic Bilbao, alicheza michezo yake ya kwanza kwa mkopo katika klabu ya Ponferradina na Real Valladolid, katika Segunda División. Kisha akarudi kwenye klabu yake ya kwanza, akiendelea kuonekana katika mechi 54 katika mashindano yote; mwaka 2018, alijiunga na klabu ya Chelsea.

Licha ya kiwango kibovu mwishoni mwishoni kabla ya mpira ya miguu kusimama, anabaki kuwa golikipa ghali zaidi duniani baada ya The Blues kuilipa Athletic Bilbao Pauni milioni 71 ($86m) kuipata huduma yake mnamo 2018.

Kepa alikwazana na aliyekuwa mkufunzi wa zamani wa Chelsea, Maurizio Sarri katika msimu wake wa kwanza huko Stamford Bridge baada ya kukataa kubadilishwa, wakati Frank Lampard amempiga benchi katika mechi kadhaa akimpendelea Willy Caballero… Baada ya kiwango chake cha chini, Valencia imeandaa ofa ya kumsajili kipa huyo mwenye umri wa miaka 25.

27 Komentara

    Kepa still a best goalkeeper #Meridianbettz

    Jibu

    Good news 👍#meridianbettz

    Jibu

    Asiende kokote abaki Stamford bridge

    Jibu

    kepa ni jeuri sana

    Jibu

    Asikatae tamaa akaze tu atapata nafasi tu

    Jibu

    kisiki

    Jibu

    Kipaji kinajiuza chenyew uwezi mtu ukakosoa kwa kosa moja husau mambo yake yote..!akuna kukata tamaa

    Jibu

    Ukiwa vzur uhitaj kk

    Jibu

    Habari njema👍

    Jibu

    Goalkeeper akiwa mzuri lazima aliliwe na Kila mtu hongera sana kwake

    Jibu

    Ni habar mbaya kwa mashabik na wapenzi wa Chelsea thanks meridian bet kwa bet kwa gud news

    Jibu

    Golikipa hatar sana huyu

    Jibu

    Kizuri kinajiuza

    Jibu

    Kipa nzuri Sana. Afanye chaguo sahihi
    Kubaki au kuondoka!#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Alipocheza Bilbao alikuwa golie mtamu sanaa ila alivyotua Stamford bridge kawa pazia tu wamuuze tu wabaki na kibabu upara wao

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    kepa ni kipa mzuri sana

    Jibu

    Nenda kapambane.

    Jibu

    Tunashukuru kwa taarifa.

    Jibu

    kepa bado ni golikipa mzuri

    Jibu

    Hana haja ya kuondoka sasa sababu yeye ni namba 1 ndani ya club ya Chelsea.

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    Abaki tuu#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa habari#meridianbet

    Jibu

    Namkubali sana haina haja ya kuondoka Chelsea

    Jibu

    Kepa ni kipa mzuri

    Jibu

Acha ujumbe