San Siro Unaweza Kubomolewa Kupisha Ujenzi Mpya

Uwanja maarufu wa San Siro ndani ya jiji la Milan, ambao unatumika na vilabu vya AC Milan na Inter Milan, unafikiriwa kubomolewa ili kuweza kupisha ujenzi wa uwanja mwingine, hii ni kutokana na kukubaliwa na mamlaka ya urithi ya Italia.

Suala hili bado lipo katika hatua za awali. Mwaka uliopita klabu hizi mbili zilituma maombi ya pamoja ya kujenga uwanja mpya ambao utachukua watazamaji 60,000 hapo hapo kwenye uwanja wa sasa.

San Siro Unaweza Kubomolewa Kupisha Ujenzi Mpya
Muonekano wa San Siro kwa ndani

Mamlaka inayohusika na mambo ya urithi Italia sio mwamuzi wa mwisho wa kuruhusu kuvunjwa kwa uwanja huu. Ndiyo maana swala hili linaendelea kutajwa kama “Uwezekano”.

San Siro ya sasa imepitia maboresho kadhaa, na ni mambo machache sana ya kale yamesalia kama sehemu ya zamani sana ya uwanja iliyobakia.

Wamiliki wa eneo hilo kwa ujumla wake ni Manispaa ya jiji la Milan, na kwa maoni yao hawajaona ulazima wa kutokubomoa uwanja huo wote.

San Siro Unaweza Kubomolewa Kupisha Ujenzi Mpya
Muonekano wa San Siro kwa nje

Awali kuliripotiwa kukiwa na ubishani wa hapa na pale juu ya kuuvunja uwanja wote kabisa kutokana na kutofautiana kwa mitazamo kwa baadhi ya wadau. Baadhi ya wawakilishi wa jiji la San Siro, akiwepo Meya Giuseppe Sala wamekuwa wakihoji mpango wa kuvunja kabisa San Siro.

Lakini majadiliano yaliyoafikiwa na wengi ambayo ndiyo yanatarajiwa kufika mbali ni kuhusu kubadilisha kabisa uwanja huu na uwanja mwingine mpya.

47 Komentara

    Ni uwanja wa kihistoria kubwa nchini Italia kuvunjwa cyo jambo la busara

    Jibu

    Club nyingi Italy hutegemea viwanja vinavyomilikiwa na manispaa za miji, imefika mahala kila timu kuwa na uwanja wake. San siro ni uwanja wa kihistoria lakini ni muhimu kuendana na wakati na mahitaji ya wakati huo.

    Jibu

    Daah hao jamaa wanapenda Kuchezea pesa kama vipi, wasiuvunje watuamishie jangwani na sisi Wa matopeni tujidai…..
    😁😁😁😁

    Jibu

    Daaah!! Ni huwanja mnzur wakuchezea wakivunja inakuwa sio vizur kabisa

    Jibu

    N vzur kufanya maboresho ya uwanja

    Jibu

    Hii ni changamoto kwa timu husika ambayo uwa inautumia huu uwanja

    Jibu

    Wanaboresha machinjio yao ili yawe na makali mpyaa

    Jibu

    huu uwanja una historia kubwa sana katika soka

    Jibu

    Kila kitu kinasababu zake huwezi jua wanataka kumfanya uwe uwanja wa mfano wake..!ufanyiwe tu marekebisho sio mbaya

    Jibu

    Ni vizuri kufanya maboresho ya uwanja

    Jibu

    ni jambo zuri

    Jibu

    Itakuwa poa tu.

    Jibu

    Huu uwanja una historia kubwa kufunjika itakuw sio sahihi

    Jibu

    Dah sasa itakueaje na ligi zinataka kuaza

    Jibu

    Ni vizuri waboreshe ili ubebe watu wengi kwaajili ya kuwaongezea kipato

    Jibu

    Sasa itakuwaje wakishabomoa na ligi ndo zinakaribia kupamba moto

    Jibu

    Money talk jaman

    Jibu

    Jambo zuri kujenga uwanja ila wange nunua eneo jingine ili wajenge na hilo jengo la kistoria watumie vizazi vingine

    Jibu

    Itakuwa poa Sana kuupanua uwanja

    Jibu

    Duuh uwanja mzuri hvyo

    Jibu

    Ni Jambo nzuri

    Jibu

    Gud news 👍

    Jibu

    Maboreshoo ya uwanja ni muhimuu

    Jibu

    Nijambo zuri sana kuboresha uwanja

    Jibu

    Ni vizuri kufanya maboresho lkn kwa kipindi hiki ambapo ligi ndo zimerudi cjui inakuwaje japo

    Jibu

    mko vizuri sana hongeren

    Jibu

    Meridianbet #
    muko vizur

    Jibu

    Hawa nao wanatia Aibu team kubwa zinashindwa hata na AZAM kuwa na kiwanja

    Jibu

    Safi habari kwa habari nzuri za michezo# meridianbettz

    Jibu

    Itakua Safi sana

    Jibu

    huo uwanja una historia kubwa sana kwenye soka#meridianbettz

    Jibu

    Ni jambo jema sema watapoteza kumbukumbu nyingi sana

    Jibu

    Ni maamuzi mazuri ya kuboresha uwanja

    Jibu

    Mbona bado upo vizuri au ndio chezea pesa ikuzoee

    Jibu

    Duuh!kama unajengwa mwingine sio vibaya kwasababu ni kuboresha na si kuondolewa kabisa.

    Jibu

    ni vizuri waboreshe uwanja ili uweze kubeba mashabiki wengi

    Jibu

    Safi sanaa

    Jibu

    Nivema wakavunja wakauweka kisasa zaidi

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Niviru wakavunja wakaweka kisasa zaidi

    Jibu

    Jambo zuri sana ilo sanaaaa

    Jibu

    Nijambo jema

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Ni jambo jema kuboresha uwanja wao

    Jibu

    Ni vyema wauongeze uwe mkubwa na wenye kuingiza watu wengi

    Jibu

    Nijambo zur sana hili

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.