Bruno Fernandes amefichua mtazamo wake kwa Alejandro Garnacho kwenye ziara ya Manchester United ya kabla ya msimu mpya kwamba kinda, huyo alikuwa anapambana sana klabuni hapo kupata nafasi na kumshawishi Erik ten Hag.

Nyota huyo wa Argentina alionesha kiwango kizuri kwenye mchezo dhidi ya Sheriff Tiraspol wiki iliyopita kwa uchezaji mwingine wa kustaajabisha, hivyo kuashiria bao lake la kwanza kwa klabu hiyo katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Sociedad. Beti na Meridanbet kwana wana odds kubwa kwaajili yako.
Licha ya uchezaji wake mzuri, ambapo United iliendeleza rekodi ya kutopoteza katika michuano yote hadi michezo tisa, vijana hao wa Ten Hag hawakuweza kufunga bao la pili walilohitaji ili kukwepa raundi ya mchujo ya michuano hiyo na wale walioshuka daraja kutoka Ligi ya Mabingwa. Odds bomba Meridianbet

Ilimwacha Garnacho kama gumzo kubwa kwa United na akizungumza baada ya mchezo, Bruno alionyesha kufurahishwa kwake kwamba hatimaye Garnacho alikuwa akijituma kwa njia sahihi kwa msimu huu. Meridianbet wana ofa na promosheni kibao kwaajili yako, bonyeza hapa kuona ofa yako.
“Alikuwa mzuri lakini anajua tunatarajia mengi kutoka kwake. Bado ni kijana kweli. Anaendelea vizuri sana,” alisema Bruno
“Mwanzoni mwa msimu, si katika ubora wake, katika ziara hiyo hakuwa na mtazamo bora ambao alipaswa kuwa nao na ndiyo maana hakupata nafasi hadi sasa. Kwasasa anapata nafasi kwa sababu anafanya mazoezi vizuri zaidi, ana mtazamo bora na anastahili nafasi yake.”

