Klabu ya Tottenham itawakosa wachezaji wake watatu ambao ni Eric Dier, Oliver Skipp na Japhet Tanganga kwenye mchezo wa siku ya jumanne dhidi ya Southampton kutokana na majeruhi.

Dier hujacheza tokea January 23 kwa sababu ya kusumbuliwa na majeruhi ambayo hajapona kwa wakati na hataweza kuwepo kwenye mchezo wa jumatano, Skipp atakosekana kutokana na “groin” wakati Tanganga akiwa na tatizo la goti.

Tottenham
Tottenham

Kwenye mkutano na waandishi alinukuliwa akisema, “Eric Dier hatakuwepo anatatizo ambalo alikuwa nalo awali wakati, sio tatizo kubwa sana lakini ameumia sehemu ilele, Skipp nae anatatizo ambalo tunajaribu kulitatua, nadhani inabidi tuwe wavumilivu.”

Alipoulizwa kuhusu ikiwa Bentancur na Kulusevski kama wapo tayari, alijibu “ndio, nadhani wanaendelea vizuri nina vutiwa na jinsi wanavyoelewa mfumo wangu.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa