Pete Jenson: Benzema Msimu Ujao Ndio wa Mwisho

Pete Jenson anadhani kuwa Karim Benzema msimu ujao ndio mwaka wa mwisho wa yeye kubaki kwenye klabu ya Real Madrid kutokana na klabu hiyo kuwa kwenye mpango wa kuwasijiri Kylian Mbappe na Erling Haaland.

Pete Jenson anaamini kuwa mara zote wachezaji bora walioitumikia klabu hiyo hawaondoki kwa amani akawatolea mfano, Raul alivyofungashiwa virago baada ya kusajiriwa kwa Cristiano Ronaldo, kuondoka kwa Casillas huku akimwaga machozi kwenye mkutano na waandishi vilevile Sergio Ramos pia nae hakuondoka vizuri.

Pete Jenson

Karim Benzema alisajiriwa mwaka 2009 akitokea Ufaransa kwenye klabu ya Lyon na Pete Jenson anaamini kuwa raisi wa klabu ya Real Madrid Perez anamkingia kifua kwa sababu hana mshambuliaji anayeweza kuingoza safu yake ya ushambuliaji kwenye klabu hiyo.

Benzema kwa sasa anamiaka 34 na mkataba wake unaisha msimu ujao ikiwa Perez ataweza kufanikisha usajiri wa washambuliaji hao wawili kwenye majira ya kiangazi, basi inawezekana kuwa kweli ndio mwisho wa mshubuliaji huyo kwenye dimba la Santiago Bernabeu.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe