Roma wameadhibiwa kwa magoli 3-0 baada ya kumchezesha mchezaji ambaye hajasailiwa kwenye orodha yao ya wachezaji.
Hii imetokea katika mchezo wao wa kwanza kwenye Serie A ambapo walimchezesha Amadou Diawara ambaye azidi miaka 22 na hakuwepo kwenye kikosi chao chenye majina 25 pekee.
Mchezo dhidi ya Hellas Verona ulimalizika kwa matokeo ya 0-0 lakini kufuatia kitendo hicho, mamlaka husika zimewaadhibu Roma na kuwapatia Verona magoli 3 na pointi 3.

Kocha wa Verona – Ivan Juric ametozwa faini ya euro 5,000 baada ya kuwapatia maelekezo wachezaji wake hali ya kuwa aliadhibiwa kutokuwepo uwanjani.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


felister
duh atajifunza siku nyengine
Theckla
Wamechezea kichapo
Mwanahamisi
Gud news
Dorophina
Hiyo ni adhabu tosha watajifunza siku nyingine
Sauda
Du! Pole yao
Frank P
Hizi sheria ni bado zipogo kumbe du
Latifa juma mohamed
Pole yao
farida ahmadi
Pole yao ndio mpira ulivyo
Adelta
Pole yao
Nasra
P
Nasra
Pole yao
Mwajumah
Mm sawa tu walivyofungwa
Caroline
Poleni Sana kwa kichapoo
Fatuma kasomo
Polee
Angelina
Corona ni hatari
Fatina
Polle
Salma ngende
Pole yao
Rose kapinga
Bahati haikua kwao!!!
Samiah
Haikuwa yakwao bahati
magdalena
roma nao wanatuangusha sana sisi mashabiki wao
Hopemwaikuka
Ndo vzur Siku nyngne awarudii tena
Zeiyana
Hapo kosa kubwa hataraumiwa kocha hatachezeshaji mchezaji amabaye hayupo kwenye listi yake
Gabriel
ndio mpira ulivyo
Saupha mohamed
Duuu pole yao
Neema
Pole yao
aisha
Duuh mpira bhuanaa kazi kweli kweli
Amiri Kayera
Awapo makin wanafanyaj mamb km wagen kweny ligi
Khadija
Pole yao wajitahid mechi nyengine
Issa
Adhabu itolew ili iwe fundisho kwa wengine watakaofanya makosa kama hayo
Sabrina
Duh Nouma sn
Ernest
Haibu kubwa sana kwa timu kubwa kama ROMA
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole yake
Tatu
Mwazo mgumu
David Pere
Adhabu itolew ili iwe fundisho kwa wengine watakaofanya makosa kama hayo