Lampard Hanamashaka na Kai Havertz

Kocha wa Chelsea – Frank Lampard, anaendelea kusisitiza kwamba hana shaka na uwezo wa Kai Havertz, kwake ni suala la muda tu.

Havertz amesajiliwa akitokea Bayer Leverkusen nchini Ujerumani na anaonekana kama ni mchezaji mwenye nyota inayong’aa na mwenye nafasi ya kuwa mchezaji bora kwa siku za usoni.

Kutokana na uwezo wake wa kucheza katika nafasi mbalimbali, Havertz amekuwa akitajwa kama mchezaji tishio akiwa na umri wa miaka 21 pekee.

Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa Kombe la Carabao, Lampard amesema, “Mpaka sasa, Kai ameshacheza katika nafasi mbalimbali, kama namba 9, 8 na 10. Akiwa Leverkusen, alikuwa akicheza sana upande wa kulia na mimi nina maono yangu.

“Jambo la msingi kwa sasa ni kumuandaa Kai. Tupo katika kipindi ambacho hatuwezi kusubiri. Tunatakiwa kumuandaa kikamilifu na tutaelewana kwamba kwanini yupo hapa.”


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

Makala iliyopita

34 Komentara

    Lampard yupo sahihi

    Jibu

    Sahihi

    Jibu

    Lampard anamuamini sana kai na kumpa asilimia zote kwasababu anajua nini anafanya

    Jibu

    Lampard yupo sahihi

    Jibu

    Kweli kabisa

    Jibu

    Amtulize nafasi moja mbali na maono yake Kai anaonekana mwepesi sana Epl

    Jibu

    Yupo sahihi lampard.

    Jibu

    Lampard kocha mzuri Sana

    Jibu

    Yupo vzuri kocha

    Jibu

    Lampard yupo sahihi

    Jibu

    Yupo sahihi

    Jibu

    Kai Havertz ni kiungo mzuri sana

    Jibu

    Yuko vizur

    Jibu

    Kocha lampard Yuko vizuri na anajuwa jukumu lake

    Jibu

    Yupo sahihi

    Jibu

    Lampard ameona mbali sana,ndio maana imani yake ipo kwa kai anajua ataleta maendeleo kikosini kutokana na juhudi zake na uchezaji wake!!

    Jibu

    Yupo sawa

    Jibu

    havertz yupo makini sana lampard ana haki ya kusema ivyo

    Jibu

    Me too

    Jibu

    Chelsea wamesajiri wachezaji wengi na wenye uwezo kilichobaki kazi ya kocha tu kipanga safu yake ya ulizi

    Jibu

    Lampard anamuamini sana kai Havertz

    Jibu

    Yupo vizueri

    Jibu

    Lampard yuko sahihi kabisa

    Jibu

    Lampard namkubali

    Jibu

    Kai kiwango chake kipo vzur

    Jibu

    Kai atatupia sana kwa midifield zilizopo hapa the blues ni balaa

    Jibu

    Lampard makini sana

    Jibu

    vzr

    Jibu

    Fresh

    Jibu

    Kwa style ya uchezaji wa Kai Havertz atachukua muda sana kuizoea ligi ya Uingereza ukimuangalia ni kama Mahrez wa Mancity

    Jibu

    Vizuri alicho kisema Lampard

    Jibu

    Lampard ana kikosi kizuri tu

    Jibu

    Amtulize nafasi moja mbali na maono yake Kai anaonekana mwepesi sana Epl

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.