Jose Gimenez amepima na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona, klabu ya Atletico Madrid Yathibitisha.
Mlinzi huyo wa Uruguay alikuwa ni mchezaji pekee aliyegundulika kuwa bado anamaambukizi baada ya kupima tena, klabu ilisema kupitia maelezo siku ya Jumanne.
Gimenez kwa sasa amejitenga nyumbani, Atletico imefuata taratibu za LaLiga ambazo zimewekwa ili kukabiliana na janga hili la kuenea kwa virusi hatari vya Corona, hii inamaanisha Gimenez atakuwa akifanya mazoezi binafsi wakati akaiendelea kujitizamia.
Kocha mkuu Diego Simeone pia alikutwa na maambukizi mapema mwezi huu na alikwenda karantani na mpaka sasa hajaonesha dalili za virusi hivyo.
Atletico wanajiandaa kuuanza msimu mpya wa LaLiga kwa mchezo dhdi ya Granada katika dimba la nyumbani Wanda Metropolitano siku ya Jumapili.
Vijana wa Simeone walimaliza katika nafasi ya tatu katika LaLiga 2919-20, wakti pia walitolewa katika hatua ya robo fainali na timu ya RB Leipzig inayo shiriki Bundesliga.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


felister
corona ebu tuache kidogo jamani
Theckla
Corona noma
Dorophina
Dhaaa hali inazidi kuwa mbaya kwenye vilabu vya mipira corona imekuwa tishio sana
Mwanahamisi
Colona noma sana
Sauda
Pole yake
Frank P
So sad pole kwake…..
Latifa juma mohamed
Sad story.
farida ahmadi
Dah pole Sana
Adelta
Coronavirus sio poa
Nasra
Corona hatari bdo
Mwajumah
Corona tishio jamn
Caroline
Mungu amponye…
Fatuma kasomo
Dah noma
Fatina mfigi
Polee
Salma ngende
Pole yake
Rose kapinga
Corona sio ugonjwa wa masihara kabisa,inabidi waongezee juhudi ya kufuata maelekezo njia za kujikinga na ugonjwa huu!!!
Samiah
Poleni
magdalena
huu ugonjwa nao sasa umekuwa too much jamani
Hopemwaikuka
Corona go to hell
Zeiyana
Korona inaondoa molali kwenye tasnia ya michezo kwa kweli
Gabriel
Habar ya kusikitisha sana
Saupha mohamed
Daaah pole sana
Neema
Pole yakeee
aisha
Pole sana kaka lakini utapona tuu
Amiri Kayera
Corana itazingharim team nying
Khadija
Corona jamani tena hila tunashukuru mungu mchi yetu kidogo imetulia
Issa
Pole yao korona imekua tishio
Sabrina
Mmmh jaman corona bado inasumbua
Rehema
Corona imearibu Kila kitu
Ernest
Pengo kubwa sana kwa Atletico Madrid
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole yake
Tatu
Corona sio poa
David Pere
Dhaaa hali inazidi kuwa mbaya kwenye vilabu vya mipira corona imekuwa tishio sana