Wakati msimu ukiwa unaelekea kwenye miezi ya maamuzi, Man United wameamua kuchana na mpango wa kumfatilia Erling Haaland.

Haaland (miaka 21), amekuwa kwenye mipango ya Man United kwa muda mrefu (toka akiwa na miaka 16) lakini, hawakuwahi kufanikiwa kumpeleka Old Trafford. Akiwa Borussia Dortmund, Haaland ni nyota inayong’aa, uwezo wake wa kufunga magoli ni mkubwa kwa mchezaji wa umri wako.

Kwa hali ilivyo, inasemekana Man United wameshataarifa kuwa, Haaland anataka kwenda Real Madrid mwishoni mwa msimu huu na hivyo, United wanaona sio busara kupoteza muda wao kwa mchezaji ambaye ameshaamua anachokitaka.

Pamoja na kuwa Madrid wanapewa nafasi ya kumsajili Haaland, Man City pia wapo sokoni wakimuwinda mchezaji huyo. Lolote linaweza kutokea mwishoni mwa msimu huu.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa