Paul Pogba: Mama Yangu Muda Wote Alitaka Nirudi Manchester United

“nilikua na furaha sana kurudi, nimerudi kuja kumalizia kazi niliyo iacha” Paul Pogba alirudi Old Trafford mwaka 2016 kwa Ada ya Pauni Milioni 89 ambayo ilikua ni rekodi mpya ya usajili ghali zaidi kwa wakati ule. Pogba anesema mama yake alimwambia kua arudi Manchester United baada ya kuondoka kilabuni hapo mwaka 2012.

Mwanasoka huyo Raia wa Ufaransa anaeye chezea pia timu ya taifa lake alijiunga na Juventus ama mchezaji huru mwaka 2012 baada ya kukosa namba katika kikosi cha kwanza cha timu ya Manchester United. Lakini licha ya kuhama Manchester United kama mchezaji huru, Pogba anasema Mama yake muda wote alikua ana sistiza swala la mwanandinga huyo kurudi Manchester United.

Pogba

Pogba anasema moja ya kauli za mama yake ilikua ni ” Utaenda sehemu nyingine lakini ni lazima urudi”

“unawajua tena wakina mama waki n’gan’gania jambo lao aliniambia utarudi tu hapa usijali na aliniambia hayo nilivyotoka United na nikweli nimerudi”

Pogba hajaitumikia Manchester united tangu mwishoni mwaka mwaka 2019, na hii ni kutokana na majeraha yaliyo mkuta kuelekea mwishoni mwa mwaka 2019 na wakati Pogba anaelekea kupona na kutarajia kuitumikia Manchester United, Michezo inasimamishwa katika ligi mbali mbali  kutokana na Janga la Korona (COVID19)

 

 

4 Komentara

    Asanten kwa makala.

    Jibu

    Kwa sasa anapotaka kuhama Man U ni uamuzi wa nani? siku zote fanya uamuzi unatoka moyoni mwako#meridianbettz

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Imekaa poa sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.