Klabu ya Barcelona imefanya kikao cha siri na wakala Mino Raiola ambapo walizungumzia juu ya uhamisho wa wachezaji akiwemo mchezaji wa klabu ya Borussia Dortmund Erling Haaland.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa norway amwhusishwa na vilabu vungi vikubwa barani Ulaya vikiwemo Barc, Man City na Real Madrid huku kwenye mkataba wake kukiwa na kipengere cha kuuzwa kwa £64 million.

Mino Raiola

Kulingana na taarifa zilizotolewa na De Telegraaf, raisi wa klabu ya Barc Joan Laporta na mkurugenzi wa ufundi Jordi Cruff walikuwa na mzungumzo ya siri na Mino Raiola kwenye ofisi yake jijini Monaco.

Haaland mpaka sasa amefanikiwa kufunga goli 16 kwenye michezo 14 ya Bundesliga hadi sasa kwenye msimu huu, pia kwenye mazungumzo hayo klabu ya Barc waligusia uwezekano wa  kumpata beki wa klabu ya Ajax Noussair Mazraoui.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa