Niyonzima Ndio Basi Tena

LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema hatakuwa na huduma ya wachezaji wake wawili, Haruna Niyonzima na Mapinduzi Balama ndani ya Yanga mpaka msimu ujao wa 2020/21.

Viungo hao kwa pamoja wamehusika kwenye jumla ya mabao matano ndani ya Yanga katika ligi kuu, Niyonzima akiwa amefunga bao moja, huku Mapinduzi akitupia matatu na asisti moja. Eymael amesema kuwa viungo hao wanasumbuliwa na majeraha ambayo yatawafanya wakae nje ya uwanja hadi msimu huu unamalizika.

Niyonzima Ndio Basi Tena

“Niyonzima na Mapinduzi sitakuwa nao kwenye mechi za ushindani zilizobaki kwa sasa mpaka msimu ujao kwa kuwa wanasumbuliwa na majeraha, hivyo ninaamini watakapokuwa fiti watarejea uwanjani kwa ajili ya msimu ujao,” alisema Eymael.

Niyonzima anasumbuliwa na maumivu ya goti, aliyapata kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Biashara United, lakini baadaye akacheza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Simba ambapo inaelezwa alisikia maumivu, akatolewa, huku Mapinduzi akiumia kwenye mazoezi wakati Yanga ilipokuwa inajiandaa kucheza na Ndanda.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

49 Komentara

    Safii wana yanga mmpo

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Wana yanga kazi mnayo

    Jibu

    Mambo yanazidi kuwa magumu# meridianbettz

    Jibu

    Sio mbaya Kwan wasipokuwepo wao magoli hayatofungwa watafunga km kawaida pole yao watakaa sawa tu

    Jibu

    Sio mbaya nilijua wanataka kuondoka

    Jibu

    Wanayanga pole yao

    Jibu

    Asnte kwa update za michezo#meridianbettz

    Jibu

    Kila la heri kwao..wana jangwani msikate tamaa

    Jibu

    Tunawapa pole sana kwa kupata majelaha

    Jibu

    Niyonzima ndo nani jamani kwani bila ya yeye wanayanga hatuwezi cheza acheni izo wanasimba

    Jibu

    poleni sana yanga

    Jibu

    Mimi nikakuta ndo basi Tena yanga kumbe wanapumzika

    Jibu

    Pole sana haluna hii habari mbaya kwa mashabiki wa yanga

    Jibu

    Mmmmh! Ya Ngoswe muachie Ngoswe

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Poleni sana mashujaa wetu mnaejua sheria na kanunu za mchezo wa mkataba mlio saini

    Jibu

    Majeraha kwa wachezaji uwa yanayumbisha timu

    Jibu

    Poleni Sana yanga kilicho baki mpambane tuu

    Jibu

    utopolo na timu yao ushindani gani hao wao wa kubaki hapahapa

    Jibu

    Ni habari mbaya kwa sisi mashabiki

    Jibu

    Wapone haraka

    Jibu

    Dah pengo kubwa jangwani

    Jibu

    Mhh pole yake

    Jibu

    Hapa wazee wa jangwani wanawaza vipi watapata mbadala wao maana adi wapitishe bakuli sio leo

    Jibu

    Ni pengo kwa wana yanga.

    Jibu

    Mmesikia wana yanga?

    Jibu

    Pole kwao

    Jibu

    Poleni yanga

    Jibu

    Habar ya kusikitisha sana ila bado tunaiman tuko vzur tena sana

    Jibu

    Uzur league inaishia

    Jibu

    Duuuh pole yao

    Jibu

    nouma san

    Jibu

    Get we’ll soon

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Pole yao yanga

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Bonge la pengo hilo

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Wananchi ni muda wa kupitisha bakuli ili kusajir mbadala wa wachezaji hao

    Jibu

    Mambo yanazid kuwa magumu#meridianbettz

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Mambo yanazidi kuwa magumu

    Jibu

    Ligi yenyewe umeshaisha haina shidaaa

    Jibu

    duu yani kila kukicha mambo yanazidi kuharibika

    Jibu

    Poleni sana yanga#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.