Makala nyingine

Timu ya Simba imejikusanyia alama 3 za kwanza kutoka kanda ya ziwa katika lile lengo lao kukusanya alama 9. Timu hiyo ilipata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Mwadui FC, …

Mashabiki wa Yanga bado hawana furaha na timu yao na wala hawakubaliani na jinsi chama lao linavyotaabika mbele ya timu ndogo katika mechi zao za Ligi Kuu, lakini kiungo wao, …

Ikiwa ni siku moja tu imepita baada ya mwekezaji wa Simba Mo Dewji kutoa maelezo yanayoonekana kuwa na hali ya masikitiko na kukata tamaa kutokana na vizuizi vinavyoweka na FCC, …

Kocha wa Simba Sc, Didier Gomez asema anaamini huu ni wakati sahihi wa kurudi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu bara, VPL. Akizungumza na Mshikemshike ya Azam Tv, Gomez amedai …

Shirikisho la soka barani Afrika CAF limetoa taarifa kwamba litatembelea viwanja nane vitavyotumika katika robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika ili kuangalia uwezekano wa kutumia usaidizi wa uamuzi …

Mwekezaji wa Simba, Mo Dewji amekiri kwamba kwa sasa timu hiyo ni moja kati ya timu kubwa sana barani Afrika. Simba imeingia kwenye robo fainali ya michuano ya klabu bingwa …

Baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kuwashusha Simba kutoka kwenye nafasi ya pili ya msimamo, Kocha Mkuu wa kikosi cha Azam, George Lwandamina amesema kuwa bado haridhishwi …

Msimamo wa Ligi kuu Tanzania Bara VPL uko hivi:- Yanga SC akiwa anashika nafasi ya kwanza huku akiongoza kwa pointi 50, wakati wapili akiwa Simba SC akiongoza kwa pointi 46, …

Zimwi likujualo, halikuli likakwisha. Ndicho kinachokwenda kuwatokea Dar es Salaam Young Africans – Yanga SC. Baada ya kutemana na Hamis Tambwe, 2018/19. Klabu hiyo ilishtakiwa kwa kutomlipa Tambwe Stahiki zake …

Kuelekea muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara [VPL], baadhi ya timu zilizokuwa na michezo pungufu kuanza safari yao mapema. Simba SC na Namungo zinamichezo pungufu, hii ni kutokana na ushiriki …

Bodi ya Ligi (TPLB) imethibitisha kuwa Februari 13, 2021 ndio tarehe rasmi ya Ligi Kuu Tanzania Bara – VPL kurejea viwanjani. VPL ilisimama kwa muda ili kupisha mashindano ya Mapinduzi …

Klabu ya Simba SC imekanusha fununu zinazosambaa kuwa wamemchagua Patrick Aussems kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo. Aussems aliwahi kuwa kocha wa timu hiyo kabla ya kuondoka klabuni hapo na …

1 2 3 4 5