Rabiot: "Vijana wa Ufaransa ni Chagizo la Kubeba Kombe la Dunia"

Adrien Rabiot anaamini kwamba safu yao ya kiungo ya Ufaransa ambayo haina uzoefu inaweza kuleta nguvu chanya kufuatia matokeo ya kuvutia kwenye mechi ya ufunguzi dhidi ya Australia.

 

Rabiot: "Vijana wa Ufaransa ni Chagizo la Kubeba Kombe la Dunia"

Mabingwa watetezi wa Didier Deschamps wamekumbwa na matatizo ya majeraha wakati wa maandalizi ya Kombe la Dunia nchini Qatar, huku wachezaji wawili wa eneo la kiungo Paul Pogba na N’Golo Kante wakiwa miongoni mwa waliolazimika kukaa nyumbani kuangalia tu michuano hiyo.

Jozi hiyo ilichangia pakubwa katika mafanikio ya Ufaransa nchini Urusi miaka minne iliyopita, na kuwaacha  Rabiot na Aurelien Tchouameni, ambao walianza katika ushindi dhidi ya Australia.

Wote wawili walifurahishwa na uchezaji wao, Rabiot akiifungia Ufaransa bao la kusawazisha ambalo walikuwa wameshafungwa mapema kabisa na kumalizika kwa 4-1, huku kiungo huyo akiamini kuwa vijana wadogo wanaweza kuwa msukumo mkubwa kwenye michuano hiyo.

Rabiot: "Vijana wa Ufaransa ni Chagizo la Kubeba Kombe la Dunia"

Rabiot aliiambia ESPN kuwa; “Sisikilizi au kusoma kinachosemwa. Safu yetu ya kiungo ni changa na yenye uzoefu mdogo kuliko katika mashindano yaliyopita, huo ni ukweli. Lakini inaweza kuwa nguvu chanya. Muda na matokeo utaonyesha,”

Alisema pia wanahitaji kuangalia ubora wa wachezaji na kujitolea kwao, hatakama wana wachezaji wenye uzoefu mdogo wa hali hizo bado wana hamu kubwa ya kufanya vizuri. Pia alisema kuwa ni muhimu kuwa na wachezaji ambao unaoweza kuwategemea wanaoweza kupumzika pia, licha ya hivyo wana baadhi yao wenye uzoefu zaidi.

Rabiot anawashauri wenzake kusikiliza na kusaidia wachezaji wenzao kufanya vizuri na kuwa katika hali nzuri, kimwili na kiakili, kwa kile wnachokutana nacho uwanjani ni kitu ambacho anapenda kufanya.

Rabiot: "Vijana wa Ufaransa ni Chagizo la Kubeba Kombe la Dunia"

Ufaransa ni miongoni mwa timu zinazopigiwa upatu kwenda Qatar, huku Rabiot akiweka wazi kuwa nia yake ni kushinda  ambayo itaifanya Les Bleus kuwa timu ya tatu kushinda mfululizo kwenye michuano ya Kombe la Dunia baada ya Italia (1934, 1938) na Brazil (1958, 1962).

“Ninapocheza mashindano, lengo langu ni kushinda. Nataka kushinda Kombe hili la Dunia, sijui kama nitawahi kucheza Kombe la Dunia tena, kwa hivyo lazima tuchukue nafasi hiyo na kurudisha kombe nyumbani.

Ufaransa inaweza kutinga hatua ya mtoano kwa ushindi dhidi ya Denmark hii leo kisha kumaliza hatua ya makundi dhidi ya Tunisia siku ya Jumatano.

Rabiot: "Vijana wa Ufaransa ni Chagizo la Kubeba Kombe la Dunia"


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.