Gareth Southgate Asaini Kandarasi Mpya.

Kama ilivyokuwa imetarajiwa na wengi, kocha wa Timu ya Taifa ya Uingereza, Gareth Southgate, ameongeza mkataba mpaka 2024.

Southgate alikuwa akiutumikia mkataba wa kuiongoza timu hiyo ambao ungefikia tamati siku za usoni. Kufuatia hatua chanya zinazopigwa na timu hiyo, ni dhahiri Southgate anastahili mkataba mpya.

Gareth Southgate ameiongoza Uingereza kwenye fainali ya Euro 2020 bila kupoteza mchezo wowote (ukiacha fainali) na ameendelea kufanya vizuri zaidi baada ya kuivusha timu hiyo na sasa, Uingereza ni miongoni mwa timu za awali kufuzu Kombe la Dunia, 2022.

Huu ni muendelezo wa Southgate kuendelea kukinoa kikosi cha Timu ya Taifa ambapo alianza kazi hiyo mwaka 2016.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.