Vilabu Vitatu vya EPL Vinataka Saini ya Ramsey

Mchezaji wa Juventus Aaron Ramsey anajiandaa kumaliza mkataba wake na klabu ya Juventus na kurejea katika Premier League na amekuwa na wakati mgumu huko Turin tangu ajiunge na klabu hiyo ya Serie A mwaka 2019 kama mchezaji huru.

https://meridianbetsport.co.tz/?s=Juventus+Aaron+Ramsey

Na vilabu vilivyoonyesha kumtaka kiungo huyo ni Arsenal, Newcastle na Tottenham na The Gunners huenda wakashinda katika kinyang’anyiro hicho kwa mchezaji wao zamani.

Mikel Arteta anajaribu kuijenga timu ya vijana yenye nguvu lakini pia anahitaji vichwa venye uzoefu kama Ramsey ambaye anaijua vizuri Arsenal.

Spurs ambao ni mahasimu wakubwa wa Arsenal pia wameonyesha nia ya kuipata saini ya kiungo huyo lakini je mashabiki wa Spurs watampokea? Kwani Ramsey aliwahi kukataa kujiunga na Tottenham  alipoulizwa na mwaka 2018 kama angeweza kuhamia Spurs alijibu hapana.

Matajari wapya wa EPL Newcastle wanataka majina makubwa sasa kwenye timu yao kwani wanao uwezo wa kumudu mishahara mikubwa, hii inamaaanisha Ramsey anaweza kwenda Newcastle.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.