Kocha wa Manchester United – Ole Gunnar Solskjaer, amenukuliwa akisema Greenwood anaweza kuwa namba 9 wa Man United kwa siku za mbeleni.
Baada ya kuwa na msimu mzuri mwaka 2019/20, Greenwood anaonekana kama anakila sifa ya kukabidhiwa mikoba ya Martial na kuongoza mashambulizi ya Man United.
Suala hili linatizamwa vyema na Solskjaer. Japokuwa, Ole anadhani kuna baadhi ya vitu Mason anapaswa kuvifanyia kazi kabla hajakabidhiwa nafasi hiyo.
Akifanya mahojiano na waandishi wa habari. Ole amesema, ” Alikuwa na msimu mzuri uliopita, kufunga goli leo ni kitu cha muhimu kwake.
“Nimefurahishwa na hilo. Mason [Greenwood] anatakiwa kuendelea kufanya mazoezi zaidi ili arudi katika ubora wake. Nadhani bado ni mdogo, ni bora kuendelea kucheza pembeni kuliko kumuwahisha kucheza katikati.
“Nadhani ataishia kuwa namba 9 siku za mbeleni, lakini ni mzuri zaidi akitumia mguu wa kulia au kushoto. Anaweza kushambulia kutoka upande wowote, hata katikati anaweza kucheza.
“Lakini ili awe namba 9, anatakiwa kujifunza kupiga mipira ya vichwa. Ninaendelea kumwambia hili na kama anahitaji kujifunza, nipo tayari kumfundisha hilo”
Man United watakuwa uwanjani jumamosi hii kuchuana na Brighton Albion katika mchezo wa 2 wa EPL baada ya kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Crystal Palace.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Dorophina
Greenwood anastahili kabisa hiyo namba naamini ataitendea haki
Leonard
Greenwood tisa inamfaa
Sauda
Ana kila sifa ya kupewa hiyo namba..
Ester jackson
Kwa badae anastahili kabisa
magdalena
namba aliopata ataifanyia kazi ipasavyo kijana makini
Mwajumah
Greenwood anastahili kabisa iyo namba
Adelta
Anastahili kupewa hiyo namba
Elika
Hiyo namba inamfaa sana
Fatina
Safiii
Ernest
Greenwood yupo vizuri kama ataendelea kujituma huenda akawa mchezaji hatari sana huko mbeleni
Caroline
Greenwood anakuja vizuri Sana kwenye gemu
Angelina
Namba inamfaa sana
Lydia Emmanuel Magoti
Yupo vizuri Anastairi kupewa dogo huyo
Nasra
Safiii
Sadick
Ni muda mrefu niliona uwezo wake, anaweza kuwa mshambuliaji makini kuwahi kutokea#meridianbettz
aisha
Greenwood yuko vizuri sana kama ataipata hiyo no nadhani ataitendea haki
Janeflora malisa
Nice
Khadija
Anastahil kabisa kwa baadae
Tatu
Hiyo no inamfaa
Saupha mohamed
Safi
Neema
Hiyo namba ni halali yake
Fatuma kasomo
Safi
Amiri Kayera
Greenwood super Talented
Sabrina
Hiyo namba kwa Greenwood inamfaa
Tumaini kasalile
Safi
Gabriel
Martial ameshachoka tena
Samiah
Safi
Zeiyana
Kwa man Chester ya sasa ilivyo kua mbovu hanastaili hiyo namba
Hopemwaikuka
Fresh tu
Issa
Greenwood ni namba 9 makin na analijua goli
David Pere
Nadhani ataishia kuwa namba 9 siku za mbeleni, lakini ni mzuri zaidi akitumia mguu wa kulia au kushoto. Anaweza kushambulia kutoka upande wowote, hata katikati anaweza kucheza.