Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema mlinzi wa Brazil Alex Telles, 27, anataka kuondoka klabu ya Porto na kujiunga na Manchester United, ambao wanajaribu kushawishi kupunguziwa dau lake la £36.6m.

Liverpool wanatazamiwa kumtumia mshambuliaji Sadio Mane kumshawishi mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Senegali Kalidou Koulibaly ili atue klabuni hapo kutoka Napoli, licha ya Manchester City na Paris St-Germain kuonyesha nia ya kumsaini mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 29.

Tetesi zinasema PSG wanamtaka beki wa Chelsea Mjerumani Antonio Rudiger, 27, kwa mkopo wa msimu mzima.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Roma wanatarajiwa kuweka ofa nyingine ya pili kwa ajili ya mlinzi wa Manchester United na England Chris Smalling, 30, ambaye aliichezea timu hiyo ya ligi ya Serie A kwa mkopo msimu uliopita.

Tetesi zinasema Atletico Madrid wanalenga kumsajili kiungo wa Arsenal na Uruguay Lucas Torreira, 23.

West Ham wako tayari kupambana na Manchester United kwa ajili ya kupata saini ya beki wa kati wa Swansea City na Wales Joe Rodon, 22.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

West Ham United imeweka ofa yenye thamani inayofikia £33m kwa ajili ya mlinzi wa kati wa Saint-Etienne Wesley Fofana (19), ambaye anawaniwa pia Leicester City.

Burnley wako kwenye mazungumzo na Liverpool kuhusu kumsajili winga wa wekundu hao na Wales, Harry Wilson, 23.

Lazio imefikia makubaliano na Southampton kwa ajili ya mlinzi wa Uholanzi, Wesley Hoedt, 26, kurejea kwenye klabu hiyo ya Italia kwa mkopo.

Tetesi zinasema Barcelona na Bayern Munich zimeweka ofa ya kumsajili Mlinzi wa kulia wa Ajax na Marekani Sergino Dest, 19.

 

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Bayern imewasiliana na Mario Gotze kuhusu kujiunga tena na klabu hiyo. Mshambuliaji huyo wa Ujerumani, 28, ni mchezaji huru baada ya kuondoka Borussia Dortmund mwishoni mwa msimu uliopita.

Mlinzi wa kulia wa Atletico Madrid na Colombia Santiago Arias, 28, amewasili Ujerumani kwa ajili ya kufanyiwa vipimo na Bayer Leverkusen.

Mshambuliaji wa zamani wa Italia Francesco Totti anatarajiwa kurudi Roma kama mkurugenzi wao mkuu wa michezo.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

35 Komentara

    Habari nzuri

    Jibu

    Chelsea dili hilo linakuja mnatakiwa mlotumie vizuri ili kupata pesa

    Jibu

    roma watakuwa wamepata mkurugenzi mzuri sana

    Jibu

    PSG kama mtampata antonie rudiger itakua powa sana

    Jibu

    Hakika ni habari nzuri hasa upande wa Chelsea mnatakiwa mlitumie vizuri dili ilo linakuja

    Jibu

    Man u wakimpata telles itakuwa poa sana

    Jibu

    Itakua faid kwa man

    Jibu

    Roma imepata mkurugenzi mzuri

    Jibu

    Aende tu huko man watafaidika sana na huyo telles

    Jibu

    Roma wamepata mtu makini sana

    Jibu

    Maisha ya PSG yanamuhusu Antonio Rudiger

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    PSG Pana muhusu

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Itakua nafuu kwa man

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njm

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Taarifa nzur za usajir

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Roma wamepata kiongozi bora

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Me naona PSG wanaanza kumtafuta mbadala wa mbappe

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Zmekaa poa

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Chelsea dili hilo linakuja mnatakiwa mlotumie vizuri ili kupata pesa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.