Olympics: Wachezaji Nyota wa NBA Kukosekana

Michezo ya Tokyo Olympics mwaka huu uwenda ikawakosa wachezaji nyota wa NBA endapo msimu mpya wa NBA utaanza Januari.

Kutokana na mlipuko wa COVID19, msimu wa NBA ulipangwa kuanza Disemba lakini mkurugenzi wa ligi hiyo anasema kunauwezekano ikasogezwa mpaka Januari.

Adam Silver amenukuliwa akisema, “Inawezekana wachezaji nyota 15 wakakosekana, lakini wengine watakuwepo. Kimsingi kuna wachezaji wengi wa NBA wanaoshiriki Olympics katika mataifa mengine.”

Timu ya wanaume ya NBA itakuwa inatafuta taji la 4 mfululizo kwenye Mashindano ya Tokyo. Timu ya mwaka 2016 ilikuwa na wachezaji kama Kevin Durant  na Kyrie Irving wa Brooklyn Nets, Klay Thompson wa Golden State Warriors na Carmelo Anthony wa Portland.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

20 Komentara

    Korona pigo sana kwa wanamichezo

    Jibu

    Covid 19 ni ugonjwa wa kutisha sana

    Jibu

    huu ugonjwa ata sijui mwisho wake ni lini maana unavuruga mambo mengi sana

    Jibu

    Corona hatari sana

    Jibu

    Coronavirus sio poa kabisa mungu atuepushe

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    Corona hatari sana

    Jibu

    Corona haipoi!!!

    Jibu

    Tutakosa uhondo

    Jibu

    Jamani wanakosekana vip sasa wachezaji

    Jibu

    Jamanii

    Jibu

    Duh hatari

    Jibu

    jamani corona tuache kidogo

    Jibu

    Olympic games bila wachezaji wa NBA haitanoga kwasababu ligi hiyo imekusanya wachezaji kila pembe duniani #meridianbettz

    Jibu

    Duu Atari sana

    Jibu

    Kutakuwa hakuna mvuto kabisa

    Jibu

    Corona sio poa

    Jibu

    Corona sio poa

    Jibu

    Homa ya jiji

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.