Deal Done, Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga amesajiliwa na klabu ya Zesco United ya nchini Zambia.
Molinga ametua kwa mabingwa hao wa zamani wa Zambia baada ya kuachwa kwenye kikosi cha Yanga msimu huu. Mkataba wake na Yanga ulimalizika mwezi uliopita na uongozi wa Yanga kuamua kuachana nae.
Aliitumikia Yanga kwa msimu mmoja, akifanikiw akufunga mabao 11 kwenye ligi na mabao mawili kwenye michuano ya kombe la FA.
Zesco ilimaliza nafasi ya tano msimu uliomalizika ligi kuu ya Zambia, ikikosa nafasi ya kushiriki michuano ya Kimataifa kwa mara ya kwanza katika kipindi cha misimu nane.
Zesco United pia imetangaza kuachana na aliyekuwa kocha wake Mkuu George Lwandamina ambaye pia amewahi kuinoa klabu ya Yanga.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Caroline
Hongera yake kwa kupata dili nono
magdalena
pongezi kwako molinga kapige kazi kijana ilimradi mkono uingie kinywani
Dorophina
Big deal kwa molinga kwa sasa kiwango chetu cha mpira kwa wachezaji kitafika mbali zaidi
Hidaya
Deal done
Adelta
Kija uko vizuri nenda kapige kazi
aisha
Pongezi kwa david kwa kipata dili nono
Nasra
Hongera sana david
Zeiyana
Kila la kheri molinga popote kambi
Mwanahamisi
Hongera kwake
Sauda
Pongezi kwake
Amiri Kayera
Molinga striker mzur
Shan
Safi
Rose kapinga
Bonge ya dili
Khadija
Pongezi kwake
Issa
Hana maajabu
Hopemwaikuka
Kwa raha zake
Gabriel
Hongera kwake
felister
deal done
Sabrina
Hongera sana
Rehema
Pongezi kwao
Leonard
Hana jipya
Ester jackson
Kila la heri molinga
Mwajumah
Hongera kwake
Elika
Kila la kher huko aliko kwa sasa popote kambi
Fatina mfigi
Hongera kwake
Sauda
Pongezi sana kwake
Ernest
Kazi moja tuu kwa David Molinga Kupunguza uzito na kujiweka fiti zaid
Angelina
Safi
Sadick
Nilisikia amesajiriwa Gwambina sijui imekuwaje amesajiriwa Zesco. Kila lakheri kibonge mwepesi#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera yake molinga
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Tatu
Hongera yake
Rehema Dickson
Kila la kheri kwako
Saupha mohamed
Hongera sana
Neema
Pongezi kwake
JULIANA WILBARD ALEX
Inapendeza
Fatuma kasomo
Pongezi kwake
Issa
Molinga fowad makin zesco ikimtumia vizur atawapatia matokeo
David Pere
pongezi kwako molinga kapige kazi kijana ilimradi mkono uingie kinywani