Hapa Makame, Pale Zawadi Mauya na Huku kuna Tonombe

Viungo wakabaji waliopo pale Yanga kwa sasa, Abdul Aziz Makame ‘Bui’, Zawadi Mauya na Mukoko Tonombe. Fei Toto pia amewahi kucheza kama holding midfielder. Hakuna hata mmoja anayemsogelea Sergie Mukoko. Hakuna hata wa kumlinganisha naye, Simaanishi ubaya wala kuwakejeli akina Bui ila kwangu mimi Sergie is far better.

Makame anakaba sana, ambayo ni kazi ya msingi ya kiungo mkabaji ila hakupi chochote katika uchezeshaji wa timu. Anahitaji kucheza na viungo wabunifu sana mbele yake. Zawadi anacheza mpira mwingi ila hakupi sana wakati wa kukaba.

Anapiga pasi nyingi, ila pasi zake atapiga nyuma au pembeni tena za umbali mfupi. Hafikiri kabisa kufikisha timu mbele. Anapenda kucheza mpira salama (Safety football). Zaidi pia, Zawadi ni aina ya wale viungo ambaye huwezi kumpa jukumu la kukaba peke yake. Si mfukuzaji mzuri wa mpira.

Mukoko Tonombe? Kwanza anakaba vema. Itatokea kwa bahati mbaya sana Yanga wawe wanashambuliwa iwe hajafika kuungana na mabeki wa kati. Pili ni aina ya viungo wanaofikiri timu kufika mbele zaidi ya kuwa salama. Atapiga pasi fupi kukiwa hakuna njia, atacheza pasi ndefu kwenda pembeni na kwa washambuliaji wa katikati, majukumu kama ya kiungo mchezeshaji kabisa haya.

Ataingia ndani ya box kushambulia ukiwa hutarajii. Ataokota mipira nje ya box na kufanya hatari. Hawa akina Mukoko huwapati kirahisi. Nafikiri akina Mauya wana darasa la kuchukua kwake kwa hii miaka miwili.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

37 Komentara

    Hapo kazi ipo

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Makame atafanya maajabu

    Jibu

    Pambanen uwanjan sio kututambia tu

    Jibu

    Mukoko yupo vizuri sana kwenye kikosi chake cha ukabaji

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Yanga saivi wamejipanga

    Jibu

    tunasubiri kuona matendo yao na si maneno matupu

    Jibu

    Wanaume kazini

    Jibu

    Atalii tupu

    Jibu

    Hapa kazi ipo

    Jibu

    Hapatoshi mbna

    Jibu

    Fey toto yupo vizuri sana kwenye sekta ya ushambuliaji hana jituma sana

    Jibu

    Patakuwa hapatoshi

    Jibu

    Yanga wanakikos kizur

    Jibu

    Yanga ya wananchi

    Jibu

    Hakuna maajabu hapo!!

    Jibu

    Watoto wamjin wanakuambia hapo shoo shoo

    Jibu

    Kwa yanga hii tareh 18 patachimbika

    Jibu

    Yanga wako vzur sana 👍

    Jibu

    hapo kazi ipo

    Jibu

    Yanga wanatisha

    Jibu

    Yanga iko juu

    Jibu

    Mukoko mchezaji hatari

    Jibu

    Safii nzur sana

    Jibu

    Hapo kazi ipo

    Jibu

    Patamu hapooo

    Jibu

    Yanga hawatokuwa na kisingizio kingine tena kuwa wachezaji hawajakaa na Mwalimu muda mrefu au hawajazoeana, Ni wakati wa kufanya maangamizi tuu baada ya kufanya mabadiliko makubwa ya kikosi

    Jibu

    Utamu wa mboga viungo vivyo hivyo uzuri wa timu ni viungo. Hongera Yanga, tusubiri matokeo uwanjani#meridianbettz

    Jibu

    Sisi tunasubili matokeo tuu ndio nitajua apo kama bango linavyo jiereze aponani pale nani

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

    Patakuwa hapatoshi

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    mbele ya mnyama anakalishwa yanga

    Jibu

    Fey toto yupo vizuri sana kwenye sekta ya ushambuliaji hana jituma sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.