David Kameta Tulia Mjini kuna vya Watu

Kwenye mechi ya kirafiki kati ya Simba na African Lyon sikumbuki chochote kuhusu goli la Mugalu wala pasi ya “kideoni” ya Kadabra Ibrahim wa Migomba.Hata wewe achana na ushindi wa magoli 2-0 wala kumuona mkongwe Erasto Nyoni akichezeshwa kiuDavid ngo.

Ninachokikumbuka ni mikimbio na muono wa David Kameta “DUCHU” aliyecheza mbavu ya kulia.Kupitia mechi ile nimetunga dhambi mpya kabisa ambayo ni kumuona Duchu mchezaji wa kawaida.

Kesho yake ni nzuri sana ndani ya Simba yenye Kapombe peke yake kama mshindani wake.Tofauti na wengine wanaogombania namba na kina Chama,Bwalya nk.

Ambacho anachopaswa kufanya ni kuendelea kubaki na ushamba wake alitoka nao Iringa kwa Wanapaluhengo Lipuli FC. Speed yake ya kulijua jiji ndio hiyo hiyo itakua speed yake ya kuwafuta kina Mwashiuya waliokuja mjini tokea Mbeya.

Atakula Christmas nyingi sana Daresalaam kama atachelewa kupajua Buza kwa kina Ujugu Manzese kwa kina Madee na Mwanyamala kwa Kopa


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

35 Komentara

    Goodupdate

    Jibu

    Na kweli

    Jibu

    ,😃😃😃

    Jibu

    Asante kwa habari za kimichezo # meridianbet

    Jibu

    Asanteni kwao taarifa meridian

    Jibu

    Mjini kuna vya watu lkn na yy pia ni mtu

    Jibu

    kazi ipo kwelikweli

    Jibu

    Kweli kabsaa

    Jibu

    Atulie tu kwa kweli

    Jibu

    Mashabiki tunashukuru kwa makala

    Jibu

    Atulie kabisa yani

    Jibu

    Hapo tunaona kabic kama kagere hana mahajabu sikuizi

    Jibu

    Kweli kabisa

    Jibu

    Ni beki mzur sana wa pemben

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Mjini chuo cha mafunzo

    Jibu

    Mjin kweli kuna nya watu ukireta shibo unashobokewa

    Jibu

    Simba ina kikosi imara sana

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Hilo nalo neno

    Jibu

    Kazi kweli kweli

    Jibu

    Iko sawa

    Jibu

    Mjini hatari

    Jibu

    Habar Norman’

    Jibu

    Simba inakikosi imara sana

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Sibira yavuta heri kijana anatakiwa awe mpole lakini kwa mchezaji ukikaa sana benchi unaathirika kisaikolojia

    Jibu

    Kuwa mvumiliv

    Jibu

    Simba nahierewa kikosi chake kimetulia

    Jibu

    Simba imesajiri viungo wengi kuliko nafasi nyingi ndiko kwenye ushindani wa namba#meridianbettz

    Jibu

    Kweli kabisa

    Jibu

    Wako vizuri Sana

    Jibu

    Safi,uku mjini kuna watu

    Jibu

    Kijana yupo vizuri

    Jibu

    Mjin kweli kuna nya watu ukireta shibo unashobokewa

    Jibu

Acha ujumbe