Hali ya Onyango, Kuelekea Kenya

Beki kisiki wa Klabu ya Simba, Joash Onyango amesema kuwa yupo vizuri baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wao dhidi ya Al Merrikh.

Jana Machi 16 wakati ubao ukisoma Simba 3-0 Al Merrikh,  Onyango alipata maumivu dakika ya 43 na nafasi yake ikichukuliwa na Erasto Nyoni.

Ulikuwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ambapo Simba iliweza kusepa na pointi tatu jumla.

Hali yake ilionekana kuwatisha mashabiki kwa kuwa alitolewa akiwa amebebwa kwenye machela baada ya mpira kumgonga kichwani kwenye harakati za kutimiza majukumu yake.

Onyango amesema:-“Nipo salama na ninaendelea vizuri, nilipata maumivu wakati ule na kuweza kupewa huduma ya kwanza, natarajia kuelekea Kenya kwa timu ya Taifa,”.

Onyango amekuwa kwenye kiwango ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Didier Gomes kwa kuwa na maelewano mazuri na Pascal Wawa.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

CHEZA HAPA

10 Komentara

    Kila la kheri uko uendapo

    Jibu

    Duuh pole yake honyango

    Jibu

    Pole sana Josh

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Ni vizuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Polee yake

    Jibu

    Kazi popote

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Onyango namkubali sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.