Joan Laporta: Barcelona Tunararudi

Rais wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amesisitiza kuwa klabu yake yake inarudi kwenye kufanya usajiri wa wachezaji wakubwa baada ya kumtambulisha mchezaji mpya waliomsajiri kutokea klabu ya Man city Ferran Torres.

Usajiri wa Ferran Torres umewezekana kutokana na klabu ya Barcelona kuweza kupunguza bill za mishara kwa kupunguza baadhi ya wachezaji ikiwepo kustaafu kwa Kun Aguero huku wakisubiri kupunguza tena baadhi ya wachezaji ili waweze kumuongeza kwenye kikosi Dani Alves.

Joan Laporta
Joan Laporta akimtambulisha Ferran Torres

Joan alipoulizwa kuhusu uwezekano wa kumsajiri nyota wa timu ya Dortmund Erling Haaland japo bado wanamatatizo ya kifedha alijibu, “tunafanya kazi ya kuijenga timu, kila kitu kinawezekana ikiwa tutafanya mambo vizuri na ninauhakika tutafanikiwa, milango iko wazi kwa wachezaji wakubwa kujiunga na Barc, hakika tunairudisha hadhi yetu.”

Japokuwa Barcelona wanapitia kipindi kigumu ambapo wapo kwenye matatizo ya kifedha  huku deni la likiongezeka kwa EURO1.2 bilioni mwaka jana, lakini Joan Laporta na wanachama wameweza kupitisha EURO1.5 bilioni kwa ajiri kuboresha miundombinu ya uwanja wa Camp Nou na miundombinu mingine ya klabu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.