Jordan Henderson hatakuwepo kwenye mechi ya Jumatatu ya Liverpool dhidi ya Arsenal.
Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amethibitisha kuwa Jordan Henderson ataikosa mechi ijayo ya Liverpool dhidi ya Arsenal Jumatatu kutokana na shida ya jeraha.
Henderson alipata jeraha la paja kwenye mechi dhidi ya Chelsea, ambayo Liverpool walishinda kwa bao 2-0. Kukosekana kwa nyota huyu dimbani kunampa fursa Thiago Alcantara kucheza baada ya mechi yake ya kwanza dhidi ya Chelsea.
Akimzungumzia Thiago, Klopp anasema ni wazo wake lake kuwa ndiye anaweza kuingia dimbani, lakini bado atakuwa na mda wa kufanya maamuzi mpaka Jumatatu kuona ni namna gani anaweza kuingiza kikosi chake bora zaidi uwanjani.

Liverpool wanaelekea kwenue mechi hii dhidi ya Arsenal wakiwa na kumbukumbu ya kichapo walichokipata kwenye mechi ya Community Shield mwezi Agosti. Ni mipango, na matarajio ya Klopp kuwa washika mtutu hawaruki kamba wakati huu.
Licha ya Liverpool kutopigika kwenye mfululizo wa mechi 60 za nyumbani Jurgen Klopp anatambua kuwa kibarua dhidi ya Arsenal ni kibarua kigumu, na anahitaji kuweka uwiano mzuri kati ya safu ya ulinzi na ushambuliaji.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Flomena
Good news
Mwajumah
Duuh majanga ayo Jordan kuikosa mechi hii Liverpool wajiangalie sana wasije wakapokea kichapo tu
Fatina
Mmh inabid wajipange ili wasitoe boko
felister
mmmh ilo sasa tatizo
Nasra
Dah itakuwaje sasa
Caroline
Pole Sana Jordan
Lydia Emmanuel Magoti
Daa itakuwaje Sasa
Zeiyana
Hii mechi sio ngumu sana kwa arsenal kama watajipanga hipasavyo
Antony Luseno
Natumai klopp atakuwa tayari ashampata mchezaji wa kuziba pengo lake
Adelta
Pole yake
aisha
Pole sana jordan utakuwa sawa tuu
Saupha mohamed
Pole sana
Tatu
Liverpool bado wanakikosi kizuri sana hapo klopp kukaa na kikosi chake wajipange kwa ajili ya mchezo ujao
Gabriel
Pole sana Jordan Henderson
Shani
Bonge la pengo hili arsenal wakitumia mwanya huo watailipua liverpool
Hopemwaikuka
Get well soon jordan
Elika
Dah ishakuwa tatizo
Amiri Kayera
Duh pengo Hilo
Ernest
Wakati wa Thiago sasa kufanya yake
Issa
Henderson ni makin sana ila arsenal wakitumia pengo hilo watafanikiw
David Pere
majanga ayo Jordan kuikosa mechi hii Liverpool wajiangalie sana wasije wakapokea kichapo tu
Rose kapinga
Hatari sana dua linaitajika!!
Sabrina
Pole Jordan
magdalena
pole sana henderson utakaa sawa karibuni
Dorophina
Pole Jordan klabu inapengo kwa mchezo huo na arsenal wamemkosa mchezaji mzuri sana