Jordie Barrett anarejea katika ligi ya Super Rugby nchini Afrika Kusini kuchuana na Hurricanes katika mchezo utakao chezwa siku ya jumapili.
Jordie Barrett mwenye miaka 22, alikua akitibiwa bega lake aliloumia katika mechi za mizunguko miwili ya mashindano iliyopita, mbadala wake akicheza beki wa kushoto Chase Tiatia.
Hurricanes wanakuja kuaga na kocha wao msaidizi Chris Gibbes anasema kutakua na mengi ndani ya uwanja.
“Itakua mechi ngumu kwani kila timu inahitaji ushindi. Kila timu inacheza mchezo mzuri ila inashindwa kupata matokeo.
“Tutaenda pale tukiwa na umakini mkubwa kuweza kufikia utulivu na nguvu watakayo tumia Chief katika uwanja wao wa nyumbani.
Peter Umaga-Jensen pia amepata nafasi ya kuanza mbele ya Vince Aso na Kobus Van Wyk amepata nafasi mbele ya Wes Goosen.
Mbele, Scott Scrafton ni moja ya wachezaji tegemeo waliofanya vizuri katika mchezo wao dhidi ya Crusaders, wiki mbili zilizopita akichukua nafasi ya Vaea Fifits wakati wa mapumziko.
Mara ya mwishio Hurricane kucheza na Chief ni kabla ya janga la ugonjwa wa Corona (COVID-19) uliosababisha kuhairishwa kwa msimu wa ligi ya Super Rugby nchini Africa kusini.
Katika mchezo huo Hurricanes walishinda 29 – 24, asante kwa penati ya mwisho iliyofungwa na Jordie Barrett.
Siku: Jumapili, July 5
Uwanja: FMG Waikato, Hamilton
Muda: 15.35 (03.35 GMT)
Referee: Ben O’Keeffe
Referee Msaidizi: James Doleman, Angus Mabey
Mechi Kamishina: Glenn Newman
Caroline
Itákua mechi ngumu sana.Barrett jipange
Zeiyana
Kabla ya hajapata jereha alikua anajituma sana sa tusubiri ujio wake ujao dhidi ya mapunziko
Lydia Emmanuel Magoti
Nivizuri ajipange kipasavyo
Magdalena
Akaze Buti sana
farida ahmadi
Habari nzuri Sana kwetu mashabiki ila pole San na hujitahidi kufanya mazoezi maan timu sasa hv zimekuwa na ushindani mkubwa
Ester jackson
Ninamsubiri kwa hamu kumuona Jordie Barrett kama ataweza kucheza kama zamani au zaidi kwa sababu ya majeraha yake
Dorophina
Akijipanga vizuri hakuna kinachoshindikana
Theckla
Asanteni kwa taarifa
Sadick
Rugby mchezo wa kuvutia sana kuangalia#meridianbettz
Hamidu
Sisi wadau Rugby tulimiss burudani#meridianbettz
Flomena
Itakua mechi ngumu kwani kila timu inahitaji ushindi. Kila timu inacheza mchezo mzuri ila inashindwa kupata matokeo.
Mwanahamisi
Asante kwa makala
Ernest
Welcome back Barrett
Tatu
Ni vizuri akijipanga
Neema juma
Asanteni kwa taarifa
Samiah
Asanteee kwa taarifa
Tahiya
Ni mchezo mzur sema unatumia nguvu sana
Furahav
Mchezo mzuri.
Winfrida
Habari nzuri
Isaya massawe
Pongezi kwake kwa kurejea
Omary lukumbi
Ngoja tuone nan ataibuka bingwa
David Pere
Ni habari nzuri kwa timu take na mashabiki waoo
Latifa juma mohamed
Safi kwake kwa kurejea
Amani
Jambo jema
Povel
Gud news
Sabrina
Maoni:Asante kwa taarifa