Kalvin Philips Nataka Kubaki Leeds

Kalvin Philips Amevunja ukimya baada ya kutoka na kuzungumza baada ya tetesi zilizokuwa zinamuhusisha na kutaka kuhamia kwenye klabu ya Manchester United mwezi Januari.

Klabu ya Manchester United ilionyesha nia ya kumuhitaji Kalvin Philips baada ya kuonyesha kiwango kizuri kwenye michuano ya EURO2020 ambapo alikuwepo kwenye kikosi kilichocheza mchezo wa fainali.

Kalvin Philips

“Kwa sasa ninataka kupona kabisa lakini ninazungumza na mmiliki mara kwa mara kuhitaji mkataba mpya,nina furaha kuwa hapa.” Kalvin Philips

Klabu ya Leeds haikuwa na msimu mzuri wa 2021/22 kwenye ligi kuu ya Uingereza huku wakiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo wakiwa na pointi 5 tu mbele zidi ya timu zinazoweza kushuka daraja msimu huu.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe