Luke de Jong Ajiandaa Kutimkia Cadiz

Maisha ya mchezaji Luke de Jong huko Barcelona yanaonekana kufika mwisho na anajipanga kujiunga na klabu ya Cadiz ya LaLiga.

Mshambuliaji huyo wa kati wa Uholanzi amebaki yeye tu kufanya maamuzi ili dili iweze kukamilika.

Mundo Deportivo wameripoti kwamba bosi wa Cadiz Alvaro Cervera hatimaye anaweza kuipata saini ya De Jong kwani alikuwa akihitaji huduma ya mchezaji huyo kwa muda mrefu.

Tetesi za hivi majuzi zilidai kuwa Diego Costa atakuwa njiani kuelekea klabuni hapo, lakini inaonekana wamepata mtu wao.

De Jong alitua Barcelona kama mchezaji muda anayeweza kuwasaidia mwishoni mwa dirisha la usajili la majira ya kiangazi, lakini kutokana na ujio wa Xavi Hernandez inaonekana wazi kuwa hayupo kwenye mipango ya kocha huyo mpya, akiwa amecheza dakika nane pekee tangu Xavi achukue nafasi hiyo.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.