Grealish: Maisha ya City ni Magumu Kuliko Nilivyodhani

Jack Grealish amesema kwamba maisha katia klabu ya Manchester City yamekuwa magumu kliko vile yeye alivyokuwa akifikiri na anayo mengi ya kuipa klabu.

Grealish: Maisha ya City ni Magumu Kuliko Nilivyodhani

Mchezaji huyo bado hajafikia kiwango cha kawaida cha kiwango ambacho kiliwashawishi Manchester City kumsajili kutoka Aston Villa majira ya joto, lakini bado ameweza kufunga na kusaidia mabao mawili katika michezo 12 ya ligi aliyoanza.

Grealish aliachwa na Pep Guardiola wakati City ilipoichapa Newcastle wikendi iliyopita, matokeo ya picha zilizochapishwa kwenye The Telegraph zikimuonyesha mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 akiondoka kwenye klabu ya usiku akiwa na mchezaji mwenzake Phil Foden kufuatia ushindi wao dhidi ya Leeds, huku City wakiripotiwa kutofurahishwa na hali ya wawili hao.

Lakini Grealish ameahidi kwamba siku ya Boxing day amedhamiria kuonyesha ubora wake pale Manchester City watakapo kabiliana na Leicester City katika dimba la Etihad na kile atakacho kifanya mwaka 2022.

“Viwango vya hapa ni vya juu sana ndani na nje ya uwanja,ni hatari na ndio maana wamekuwa na mafanikio kwa miaka mingi.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe