Golikipa wa Kinondoni Municipal Council FC, Juma Kaseja amekanusha uvumi kuwa anatumia ndumba lakini pia anapanga matokeo.
Kaseja ni moja wa walinda mlango aliyodumu Tanzania kwa muda mrefu na kuchezea vilabu kama Simba, Moro United, Yanga SC, Mbeya City, Kagera Sugar na sasa KMC.
Mlinda mlango huyo wa timu taifa amehusishwa kwenye kupanga matokeo kitu ambacho imekuwa ngumu kuaminika na vilabu vingini.
“Watu wanauliza uwezo wangu kucheza mpira kwa muda mrefu. Watu wengine wasema mimi mchawi, wengine wanasema nauza mechi lakini ukweli ni kwamba nacheza mpaka sasa.


Salma
Mwizi akikamatwa na ushahidi tyu akubali yeye atakubali vp
Mwanaidi
Duuh hii sio poa kama kweli anatumia Ndumba
Rehema
Eeeeh! Bwana huyo mshikaji noma yaan Kama kweli antumia ndumnba hayuko sahihi!
isha
Hawezi kuongea ukweli huyo
Elika
Dua la kuku hilo halimpati mwewe…waache waongee mwenzao anafanya kazi
Magdalena
Wana ushahidi gani kama hawajamkamata nao. Watu waache maneno maneno
Ester jackson
Hayo maneno tu hata kwenye kanga yapo wafanye ya kwao wamuache na maisha yake
warda
Anacheza tu jamani ila waswahili ni noma#Meridianbettz
Mwanahamisi
Duuh hii sio poa
Ernest
Kwa mambo mengine sawa lakini kupanga matokeo haiwezekani.
Emmy cleopa
Duuuh
Adelta
Duuh sio poa
Devotha
Anakipaji chake hutumii ndumba wala nini
Samiah
Duuh hii siyo poa
Khadija
Jamani mpira kipaji tuu hila ss wabongo ukiwa mchezaji mzr ndio unambiwa unatumia uchaw achana nao kaseja cheza mpira akili kichwan mwako##meridianbettz
Asia Abdy
Wanamzushia bhana yey apambane
Neema juma
Wanadamu ndo walivyoukifanya vzr watasema ukifanya vibaya pia watasema cha msingi fanya kitu moyo wako unavyokuongoza
Samira
Sio rahisi kwake kupanga matokeo wanamzushia tu
mwakalosi
juma,k juma ni mtu wa ndumba tu
Zeiyana
Usija sana kaseja zote hizo chuki na wivu tu wew endelea na mambo yako..!
Neema hassan
Kaseja kipa mzuri waache uzushi wao..
Johnmary joel
Kaseja songa mbele binadam hatupendani endelea kukaba#meridianbet
Hamidu
Tanzania one! Juma kasema
Bado anajua Sana.
Sylvester
hahaha mpira wa bongo ndumba inaongoza sana toka klabu za uswahilini,ndumba huyo ni muhimu #meridianbettz
Theckla
Wamejuaje km anatumia ndumba?
Tahiya
Jamaa uo uvumi wa kutumia ndumba nimeusikia muda mrefu sana toka kipindi yupo Simba ila lisemwalo lipo
Mwajuma
Jamaa anajua sema wabongo wanapenda sana majungu
Amani
Jamaa fundi Sana akuna kipa Kama yeye
Povel
Kaseja Tanzania one kipa mzuri sana thnks meridian bet kwa update
Rehema Dickson
Ukiona uyo kaseja ni mswahili haswa anajua kutumia uswahili wake vizuri haswa
Agness
Hawezi kusema ukweli
Antony Luseno
Sidhani kama kuna mchezaji wa kuweza kukiri hili jambo
Lydia Emmanuel Magoti
Yah nikweli kaseja anacho kiongea yy anajiamini anajikubali Kama yeye nivyota wa Makipa sio ndumba kujua tuu kaseja jembe lakuotea mbali kipa mzuri
Gabriel
Kwa upande wa ligi za kwetu ndumba n kitu cha kawaida sana hvyo kwa upande wa michezo mingi ndumba ilikuwa inatumika Kama kuleta ushindi
Furahav
Sikuzote mti wenye matunda,lazima upigwe mawe.
Shafii
Kaseja fundi
Theonestina
Hii Sio poa kabisa
Latifa juma mohamed
Hicho ni kipaji ,acheni chuki
Frank Patrick
Popote alipo mpeni soda araf ajilipie
lombo
waache uzushi bana kama ndumba ingekuwa inalipa basi wote tungekuwa magolikipa tanzania mzima kipaji kwanza mambo mengne baadae
felister
🤣🤣🤣 lisemwalo lipo na Kama halipo lipo ….
Ester mmakasa
Kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake ,hao ndio binadamu hawakosagi ya kuongea .
Hope mwaikuka
Inawezekana
Dorophina
Jamaa yupo vizuri lkn wabongo tunapenda majungu
Caroline
Jmn Muongo .Kaseja wanamsingizia
Mariam mtandama
Duuuh