Kuweka Pesa ni Simpo!

 

Kama tulivyowaahidi kuwa moja ya mtandao bora duniani kwenye huduma bora ya kampuni ya kubashiri Tanzania, tumeamua kubadilisha ili tuwasaidie njia rahisi.

Kwenye njia yetu mpya ya kuweka pesa, inachukua dakika chache kwa pesa kutokea kwenye akaunti yako!

Hakikisha unafuata hatua hizi rahisi kuhakikisha pesa yako inaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako:

Hatua ya 1: Piga *150*00# kwenye simu yako ya mkononi.
Hatua ya 2: Chagua hatua namba 4 lipa kwa M-PESA.
Hatua ya 3: Chagua hatua ya 4 kuingiza namba ya biashara ya meridianbet.
Hatua ya 4: Namba ya biashara ya meridianbet ni 170066
Hatua ya 5: Ingiza tu namba zako za akaunti ya meridianbet.co.tz kama uthibitisho
Hatua ya 6: Ingiza kiasi cha pesa kwa pesa ya kitanzania unachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya Meridianbet.co.tz
Hatua ya 7: Ingiza namba yako ya siri na kumbuka kutokumpa mtu yeyote namba yako ya siri.
Hatua ya 8: Chagua 1 kuhakikisha na usubiri dakika chache kwa pesa kutokea kwenye akaunti yako ya meridianbet.co.tz

Account ID NI kumbukumbu namba ambayo ni ile unayoiona unapolog in juu kulia kuna kivuli cha mtu ukibonyeza pale kuna tarakimu 7 zinakuja imeandikwa Account ID.

43 Komentara

    Mngeturahisishia na mitandao mengine kama halotel airtel na zantel

    Jibu

    Asante meridianbet kwa kutujali wateja wenu..

    Jibu

    Turahisishieni na TTCL bc

    Jibu

    Great ila mngetuwekea na mitandao mingine

    Jibu

    Njia rahisi sna tushindwe sisi kupata pesa

    Jibu

    Ni njia isiokuwa na usumbufu

    Jibu

    Mmeboreshaa?maana tunapataga sana shida kwa kutumia kudeposite kwa njia ya simu

    Jibu

    Ni njia rahisi na nzuri kwa sisi wateja wenu.hakika mnatujali sana tuko pamoja

    Jibu

    Shukuran #meridianbettz

    Jibu

    Mmeturahishia kazi

    Jibu

    Good opportunity👍# meridianbettz

    Jibu

    Ipo vizuri ni njia rahisi

    Jibu

    Njia rahisi hatutoshindwa

    Jibu

    Ahsante sana meridian kwa kutupa njia rahisi sana #meridianbettz

    Jibu

    Hii itakuwa poa Sana #meridianbettz

    Jibu

    Asante kwakutujali wateja wenu

    Jibu

    Meridianbet # muko juu

    Jibu

    Nimejaribu kujiunga na huduma hii lakni bado haijakubali sijui nasaidiwaje?

    Jibu

    Meridian mko vizur

    Jibu

    Ipo vizuri ninjia rahisi

    Jibu

    Safi meridianbet mko vizur

    Jibu

    Asanteni kwa maelekezo mnayoutupatia kila siku…safi sana #meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa maelezo mazuri#meridianbettz

    Jibu

    Ni nyepesi sana Asante meridian kwa habar meridian bet tz#

    Jibu

    Thanks for information

    Jibu

    Asante kwa kutujali wateja wenu

    Jibu

    Mko vzr sana.

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa meridian#meridianbettz

    Jibu

    Ni rahisi ma haraka sana asanten meridian

    Jibu

    sio vizuri mnatubagua sisi tunaotumia halotel plz tufanyien mchakato

    Jibu

    Ni njia rahisi na haina usumbufu kabisa

    Jibu

    Hapa sisi wadau tunaomba mboreshe hii njia maana kumekuwa na usumbufu sana kuweka pesa kwenye akaunti zetu Mara nyingi imekuwa ikichukua muda mrefu wakati sisi tunataka kubeti.

    Jibu

    Ni njia nyepesi asantemeridian bet

    Jibu

    nzuri sana

    Jibu

    Tunashukuru kwa taarifa

    Jibu

    Na mitandao mingine tunataka pia

    Jibu

    Bora ulivyo badilisha tunapata shida sana..!sasa nitaziwai mechi kabla azijaingia live

    Jibu

    No njia isio na usumbufu

    Jibu

    Kweli ni simpo maana mi nishaanza kutumia muda mrefu sana

    Jibu

    Meridianbet mnazidi kutufurahisha wateja wenu

    Jibu

    Kumbeeee!!!!! sikujua ila sasaa nimewaelewaa.#meridianbet

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.