Kwa Mkapa Hatoki Mtu - Simba

Klabu ya soka ya Simba leo imecheza mchezo wake wa pili wa kati Kundi A Klabu Bingwa Afrika na kufanikiwa kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri.

Kocha wa Simba alionesha kuelewa vyema mbinu za mpinzani wake Pitso Mosimane baada ya kuonyesha soka safi huku Pira Biriani likitawala kwa dakika 90 za mchezo.

Bao pekee la Simba lilifungwa na Luís Miquissone dakika ya 29 ya mchezo na kuifanya Simba kuibuka na pointi tatu muhimu huku akijikita kileleni mwa Kundi A.

Sasa Simba wapo kileleni mwa Kundi A wakifuatiwa na AS Vita kisha Al Ahly na El Merrick wakishika mkia.


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

CHEZA HAPA

7 Komentara

    Pigs keleleeee kwa simba yakeeee

    Jibu

    Mmebahatishaaa

    Jibu

    Basii hongereni wanasimbaa

    Jibu

    Mnyama mkali simba kiboko yao

    Jibu

    Nakubalii

    Jibu

    Simba baba lao

    Jibu

    Anatokaje kwa mfano

    Jibu

Acha ujumbe