Imeripotiwa kwamba Klabu ya Liverpool inawania saini ya kiungo wa Klabu ya Udinesse, Rodrigo De Paul ili ajiunge ndani ya kikosi hicho cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England.

Mbali na Liverpool kuwania saini ya nyota huyo raia wa Argentina ambaye anacheza ndani ya  Serie A pia Klabu ya Inter Milan nayo inatajwa kuwania saini ya kiungo huyo.

Liverpool, Liverpool Kuwania Saini ya Rodrigo De Paul, Meridianbet

Akiwa na miaka 26 anaonekana kuwa bora ndani ya uwanja jambo ambalo limewafanya Liverpool wavutiwe naye na wapo tayari kuweka mkwanja mezani ili kupata saini yake.

Dau ambalo Liverpool inatajwa wameweka ni Euro milioni 30 kupata saini ya nyota huyo ambaye kwa msimu huu wa 2020/21 amecheza jumla ya mechi 23 amefunga mabao matano na pasi tatu za mabao na kwa upande wa kadi ameonyeshwa kadi mbili za njano na moja nyekundu.

 

Liverpool, Liverpool Kuwania Saini ya Rodrigo De Paul, Meridianbet


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

Liverpool, Liverpool Kuwania Saini ya Rodrigo De Paul, Meridianbet

CHEZA HAPA

11 MAONI

  1. Akiwa na miaka 26 anaonekana kuwa bora ndani ya uwanja jambo ambalo limewafanya Liverpool wavutiwe naye na wapo tayari kuweka mkwanja mezani ili kupata saini yake.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa