Manchester City Wanataka £60 million kwa Laporte.

Kulingana na Jarida la Daily Mail, Klabu ya Manchester City wametaja dau lao la kuweza kumuuza beki huyo wa hispania ambaye inasemekana hana furaha kutokana na kukosa nafasi ya kucheza katika kikosi hicho.

 

Mabingwa wa hao Ligi Kuu watasikiliza dau lenye thamani ya kuanzia pauni milioni 60 au zaidi kwa Laporte, ambaye msimu uliopita alicheza mbele ya Ruben Dias na John Stones kwa safu ya ulinzi.

Klabu za Juventus na Real Madrid hivi karibuni wamehusishwa na huduma za beki huyo wa kati lakini mpaka sasa hakuna ofa rasmi iliyowakilishwa katika klabu ya Manchester City.

Taarifa za karibu zinasema Laporte anapata shida kupata timu nyingine kutokana na mshahara mkubwa anaolipwa Manchester City wa £160,000 kwa wiki.


MUDA NI MKWANJA, MKWANJA NI SAHARA RICHES.

Ni muda wa kuwa milionea na kasino za mtandaoni za meridianbet, mchezo wa Sahara Riches unakupa nafasi ya kushinda mkwanja mrefu. Matajiri wa jangwani wanataka wakupe mkwanja leo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.