Kylian Mbappe, Erling Haaland, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Robert Lewandowski, Romelu Lukaku; karibu washambuliaji wote wakubwa wa ulimwengu wamekuwa wakitakiwa na vilabu mbalimbali msimu huu wa joto, lakini sio Mohamed Salah.

Hiyo inakuja kama mshangao kutokana na kwamba Mmisri huyo ana mkataba chini ya miaka miwili, ambao utamalizika mwaka 2023.
Licha ya kufunga mabao 126 katika michezo 204 kwa Liverpool, klabu ya Merseyside bado haijampa mkataba mpya.
“Natumai wanaangalia,” wakala wa Salah Ramy Abbas Issa alitweet wakati Salah akifunga dhidi ya Norwich katika wikendi ya ufunguzi wa Ligi Kuu.
Haikuwa ishara ya kwanza kwamba hatma ya Salah inaweza kuwa hewani pia, baada ya kuelezea mashaka yake kwa mwaka huu.
“Hakuna anayezungumza nami juu ya hilo, kwa hivyo siwezi kusema mengi juu ya hilo,” Salah aliambia Sky Sports mwezi Mei.
“Hakuna mtu katika klabu anazungumza nami juu ya chochote kwa hivyo sijui.”
Kulingana na The Athletic, Salah amerejea msimu huu kwa shauku zaidi kuliko hapo awali, na inaweza kuwa kesi ya Salah kutotaka kuhama klabu.
Wakati vilabu vya vikubwa vya Ulaya vinatafuta mshambuliaji wa kiwango cha juu, Liverpool ingefanya vizuri kufunga hatma ya Salah kabla ya wapinzani kuanza kunusa.
Ni muda wa kuwa milionea na kasino za mtandaoni za meridianbet, mchezo wa Sahara Riches unakupa nafasi ya kushinda mkwanja mrefu. Matajiri wa jangwani wanataka wakupe mkwanja leo.



Sarah
Asante kwa taarifa